Si bank inabidi aende bank na pesa kwenye Rambo kulipia ada watoto wote wale..Anazipeleka wapi na zinini 😁😁
Atakuwa pia hana asili ya minyama uzembe/ vitambi
Baki hapa bado tupo angani😂😂For further use mtumishi zinipasie pullliiizzzzzzzzzzzzzzz! unajua naenda kulala soon eeh!!!🤣🤣🤣
Unachizika soon mtumishi ujue!! 😉😉 Hizo ndio lips!!🤔🤔Hayaa
Jinga sana wewe sometimes 🤗🤗🤗🤗🤣🤣🤣!!Baki hapa bado tupo angani😂😂
Noma sanaHahahaa pole sana
Leo mambo yalikua mengi yaani
Kubwa la majeinga hili aah ni sahihi kabisa😆Jinga sana wewe sometimes 🤗🤗🤗🤗🤣🤣🤣!!
Aah 🤣🤣🤣 dah watu wa IG wanokoSi bank inabidi aende bank na pesa kwenye Rambo kulipia ada watoto wote wale..
Yes nafikiri ana mwili mzuri naturally
Nauza mafuta sheli, makelele lazima 🤣🤣🤣Wewe kila nikikupigia uko kwenye makelele kama fundi gereji😂😂
Nitakusimulia shoga angu, utaipenda.
Khakhakhaaaa!!! unajua majuzi kwenye mechi walinitengua mgongo ehhh so nataka nikaulaze mwanangu!!😉Kubwa la majeinga hili aah ni sahihi kabisa😆
Ulikuwa unapiga mechi na mla ganja?😅😅😅Khakhakhaaaa!!! unajua majuzi kwenye mechi walinitengua mgongo ehhh so nataka nikaulaze mwanangu!!😉
Wabheja sana kipenzi!Thank you vere much...🤗
🤣🤣🤣🤣Skuli mwanangu timu pinzani walikua ma giant kinoumaaaa !😂Ulikuwa unapiga mechi na mla ganja?😅😅😅
Angalia utatenguka trak..o bure ubaki ndg mtazamaji ukubwani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Skuli mwanangu timu pinzani walikua ma giant kinoumaaaa !😂
Hahahahaaaa weeeeehh hapo nipo makiniiiii weeeeehhhhh kwenye traaaaaaaakkkk teeinaaaaaahh!😛Angalia utatenguka trak..o bure ubaki ndg mtazamaji ukubwani🤣🤣🤣
Yes Zuri na Bella wana kamfanano ni vile tu Bella hajapata matunzo.Yeah ukiangalia facial structures za Hope na Bella utasema ni wanae kweli; japo Bella ni adopted daughter. Au sura ya Zuri na Bella pia.
Yaani ana makelele ya kimama kabisa
Hahahahaha eti wewe ndiyo Mfalme wa wezi.Yes Zuri na Bella wana kamfanano ni vile tu Bella hajapata matunzo.
Nilicheka hiyo siku anamwambia mwanae eti pombe ni mate ya shetani![]()