myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Wadada salio hiloo...
Wadada salio hiloo...
Daaah ambao hatuna pesa tunanyanyasika sna




Nina kasimu kamoja hapa, nazijua speed za wananzengo

Umeona eehDaaah ambao hatuna pesa tunanyanyasika sna![]()
Eeeeeeeh observers wetu, hawana shida kabisa
Wale wa kimya kimya
Mkuu kuna vingine sio lazima pesa..Daaah ambao hatuna pesa tunanyanyasika sna![]()
Hata ile view once kuna namna naona bana 🤣🤣🤣Aaah blue tick😁😁😁
Af hata nina sababu ya msingi basi!🤣🤣
Ila whatsap yangu ya kawaida, nitumie ile video bana😃
Hua najisahau kama nina snap, najikuta nishajipiga camera ya kawaida, nitaanza mazoez sasa kila asbh nijisnap had niizoee😃
Kaka hayo maji marefu sana acha nipambanane na hawa mwajuma ndala ndefu tu
Kweli KakaUmeona eeh
Ila wacha tufaudu
Hata kwa macho
Pesa za nini mkuu 🤣🤣Daaah ambao hatuna pesa tunanyanyasika sna![]()
ThobootoMkuu kuna vingine sio lazima pesa..
😂😂😂
Kaka nishaambiwa na pisi tafuta hela ndyo utanipata siyo mmoja tu yaniMkuu kuna vingine sio lazima pesa..
NaKaka hayo maji marefu sana acha nipambanane na hawa mwajuma ndala ndefu tu
Wakaka tupambane na hali zetu za nguvu za kiumeWadada salio hiloo...
Aisee....labda walijua unatania.Kaka nishaambiwa na pisi tafuta hela ndyo utanipata siyo mmoja tu yani
Amini hilo pesa pesa pesa unamtongoza demu tu anauliza unafanya kazi ganiThobooto
Pesa mzee
Pesa ndio kila kitu Mkuu
🤣🤣🤣Na
Wanatuokoa mno
Kwan shemeji yy Hana vinoti etiPesa za nini mkuu
Siku hizi si mmetuAmbia tuje na hela zetu?
Kwenu tunafata mikazo tu na little supports![]()