Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata ile view once kuna namna naona bana 🤣🤣🤣

Umehide aje? Nataka unifundishe, nipunguze zile ‘mbona hujibu na umesoma 😆😆

Video sikutumii, mdada mzuri huna screen record.. una shida gani 🤣🤣

Kula zoezi 😅😅
Wee nitumie video ndio na mimi nakufundisha kuhide😎

View once imekuaje kwan sikuhizi? Ila kweli sina app nyingne

Natumia tecno wereva bana haina hiyo option😃
 
Imajini[emoji2369]

Mnachat kidogo

Unaambiwa kesho besidei yangu

Nataka zawadi

Hujakaa sawa

Nimepungukiwa laki 2 ya keki

Wewee

Nani boya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora nidili na Mama ntilie tu na wauza uji
 
Back
Top Bottom