Selfika na JF: Snap it. Show it

Nyie ndio mnawaletea fujo kina John kisomo
 
wanikumbusha mbali sana..
 
Kuna hyo moja ya ardhi tulikuwa tunakaa nayo nyumba moja oi,,, mchana inazurula usiku unaamka saa 8 ile umeshtuka unaikuta nje imevaa track,, soksi na imejifunika yale manguo ya kimasai inapasua mawimbi
wee Ghetto labda awepo na yule john kisomo ndo ananifanyaga nisome, pekee yangu mara chache sanaaa. Ndo maan mda mwingi nakua maeneo ya chuo ili nipate appetite ya kusoma.
 
wee Ghetto labda awepo na yule john kisomo ndo ananifanyaga nisome, pekee yangu mara chache sanaaa. Ndo maan mda mwingi nakua maeneo ya chuo ili nipate appetite ya kusoma.
Nna ka ugonjwa flan hv,,, nikionaga kale ka road ka getini ni kama kananivuta vile niende home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…