Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

"Bittersweet memories, that is all I'm taking with me. Goodbye, please don't cry, we both know I'm not what you need..."
~ Whitney


FB_IMG_1655712155984.jpg
 
Nakuona shos nakuonaaa fulll gushepuuuuuuuu[emoji8][emoji8][emoji8][emoji3531][emoji3531]
Umetokelezea hatareeee [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi [emoji1250]kufanya surgery ntachelewa, Wachina wamerahisisha, Kkoo unajipatia Surgery ya muda mfupi kwa bei cheee.
 

Attachments

  • Screenshot_20220620-110950.jpg
    Screenshot_20220620-110950.jpg
    68.7 KB · Views: 10
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu naskia booster zimekuja mpyaa, naona Giggy anaya promote, tatizo bei wee eti 1 n 65k.

Ntafute hela nikanunue mie.
Hahahahaaaa!!! sasa ukiwa na baby unajiwahi kuvua mwenyewe au😂😂😂😂😉😉😜?? Hahaha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi [emoji1250]kufanya surgery ntachelewa, Wachina wamerahisisha, Kkoo unajipatia Surgery ya muda mfupi kwa bei cheee.
Hahahah! Mjini mipango ausio!! Umenouga sana yani kashepu mwakee👌👌👌👌👌👌👌👌👌
 
65 bado ni kind cheaper…. [emoji28][emoji28] ukiamua

Booster ndiyo nini tena ? Au hizo mataqo za mchongo? Taiti au
Matako ya mchongo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Taiti hazioneshi wowowo. Yaan 65 n bajeti yangu ya mwezi..
Mihogo na miguu ya kuku. Burudaaan.
 
Hahahahaaaa!!! sasa ukiwa na baby unajiwahi kuvua mwenyewe au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji6][emoji12]?? Hahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa bae wangu mwenyewe anayaona nikiyaweka kwa kabati hatashangaa, navaaga ili nje bae wangu ajisifie kwa wenzake kuwa ana sehemu ya kushika.
 
Back
Top Bottom