Selfika na JF: Snap it. Show it

Yesu kimbilio hajawahi kuniacha.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Yeesuuu mwamba wangu mahali pa kujifiichaaaaaa ๐ŸŽถ๐ŸŽผ
Anajua shida zangu yeye atazitatuaaaaaaa๐ŸŽต๐ŸŽถ
Biiiilla yesu mimi ni mtu bureeeeee๐ŸŽผ๐ŸŽถ๐ŸŽต๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ
 
TAARIFA KWA WAKAZI MTAA WA SEGEREA. AMBAO NYUMBA ZAO ZINATIZAMA BARABARA YA LAMI.KUANZIA SANENE MPAKA SEGEREA MWISHO KUSHOTO NA KULIA. MNAOMBWA KUFIKA KWENYE KIKAO SIKU YA JUMATATU TAREHE 20)06/2022. KITAKACHOFANYIKA OFISI YA SEGEREA YA MTAA WA SEGEREA. MUDA NI SAA SITA.
AGENDA ZA KIKAO NI
1. UJENZI WA BARABARA YA MWENDO KASI
2. HIVYO KUNA UBOMOAJI WA NYUMBA AMBAZO ZITAGUSWA NA MRADI
3. KWAHIYO WATAKUJA WATU WA TANROAD NA WATU WA KUFANYA TASIMINI. HIVYO MWENYE NYUMBA UNAOMBWA KUFIKA KWENYE KIKAO BILA KUKOSA
 
Sawasawa mkuu
 
๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Ndani ya KRISTO ninawekaa
Tumaini langu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ