Selfika na JF: Snap it. Show it

Wapopo wana laana hawa mbwaaaa, njaaa kibao, mfyuuuuuu zao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila huu utapeli wa kizamani yaan kama bado kuna watu wanatapeliwa kwa namna hii niwape pole sana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Eeh bana
Wangoni πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!! cocastic
Natuma maombi ya kufundishwa mautundu mie kuna mtu nataka kumvuruga avurugike mazimaaa πŸ˜‰πŸ˜‰πŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...Basi Mimi sio mngoni wallah Tena...
Tutamfute tu atufunze..hakuna namna🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…