Kweli ni kufanya yote, sasa ntakaa na mtu eti heshima na sihisi lolote moyoni nakaaje nae sasa? Sema kiwango cha mapenzi ya mwanamke kisizidi kiwango cha mapenzi ya mwanaume wake kwake.