CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
We mwamba una matukioo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km ni Kairuki hebu nikae kimyaa mie, nisiseme sanaaaaah, nitafukiwa chini niko hoi mnooo mie.
Woiiiiiiiih.
Salama tu mkuu!Rafiki habari za siku mingi
Mimi napenda vyote..Yes, ni bora uwe na anayekupenda kuliko unayempenda wewe... Mimi Bora nipendwe kuliko kupenda.
Pamoja katika kundi acha tupende tu
Yeah,,, Kila hospital Ina faida zake na hasara zakeYeah nursing imekaa hivyo
Halafu hospital za private kuna male nurse wengi tofauti na huko kwingine
Nipo nimejaaaa teleee hapaaa km pishi la biriani kwa shishi food. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
hahahaaa..
fanya wepesi nilale vizuri shoss akee sijakuona kitamboooo[emoji8][emoji8]
Mama Maiko 😆😆😆
😁😁😁 mambo ya gugluuuEwaaaa💕💕💕💕
Madam wewe ni balaa na nusu😍
Kiherehere kinaitwa🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 akili zako sasa 🤣🤣🤣Niwacheeeeeeee naweee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mda wangu wa kudangaaa huu.
Ewaaa[emoji7]Pamoja katika kundi acha tupende tu
Badooo, mbna mtatafutana humu ndani? Kwa hili Vazi? Km suo kutapika bas mtaharishaaaaah. Weraaaaaaaaaah weraaaaaahNikuone shos akee vipi yale mapigo ya kwa tailor lakini;!??
Kwa hisani ya IT manager wako siyo?🤣🤣😁😁😁 mambo ya gugluuu
Wakati mama Maiko kamwambia Mary nunu kamnunie mumeo, nikaikumbuka hiyo taarabu ‘ bado hujanuna…Ooh nikajua shoga angu mwanakondoo.
Vivian atakoma na gubu la dada ake
Acha niwe nacho tu aisee[emoji1787],,Tena nakuwa kama zoba .Kiherehere kinaitwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu aliagiza hivi we unafanya vile..
Nkamu, sijapentaaaaaaaaaaa..........
.....
[emoji23][emoji23] haipo hiyooo. We ukipenda tegemea maumivu na ukipendwa mwenzio ategemee maumivu. Lbd uamue kubadilika, umpende tu hivyo hivyo.Unayempenda anakupiga matukio huko hadi akili inakuruka,
Anayekupenda anakutafuta wewe habari huna!
Rarely kupata waliobalance..yaani mtu anakupenda na wewe unampenda [emoji3590]
Ikitokea hii aiseee ni[emoji91]
Tunaimba tu pambio za Hallelujah Hosana.
Ntakubonda wee, shem wako yupi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilijua bwana shemeji
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Badooo, mbna mtatafutana humu ndani? Kwa hili Vazi? Km suo kutapika bas mtaharishaaaaah. Weraaaaaaaaaah weraaaaaah
Hhahaha!! Eagerly waiting shos hio siku usiache kunitag !!Badooo, mbna mtatafutana humu ndani? Kwa hili Vazi? Km suo kutapika bas mtaharishaaaaah. Weraaaaaaaaaah weraaaaaah
Manager ni mie mwenyewe… hiyo ni kwa hisani ya my Procurement officer 😅😅Kwa hisani ya IT manager wako siyo?🤣🤣