Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,296
- 95,339
Liongo!Leo nmepita bila chenga
Liongo!Leo nmepita bila chenga
Kivipi tenaLiongo!
Hapo ndio ziwani?Kivipi tena
😹😹😹 Wewe bana nifanyie jambo nililokwambia..!!Huyu dogo mfalme wetu mnamchukulia poa sana wakati pesa anayo.
Siku mkimuona Tayana anasukuma pira jipya harrier anaconda msije kuanza maneno na wivu
Ndo naelekeaHapo ndio ziwani?
Hongera kwa kumpa tayana mtu sahihi bado mimi sasa..!! Shusha mkeka nichague..!Huyo dogo pesa anayo na anajua kuitumia. Tayana kapata mtu makini sana
Kwa kuwajaza watu uko vizuri 😹😹Huwa anazinguaga wengine kuwashika mkono, ila kwako naamini atakubali🙏
Mbona leo umekuwa na kitambi afu mweusi ti?Ndo naelekea
Kwan si ndivo nlivo au unachanganya mafileMbona leo umekuwa na kitambi afu mweusi ti?
Nachanganya na la nani tena😃Kwan si ndivo nlivo au unachanganya mafile
Oooh,msalimie aunt mrembo🥰.Hiyo ilikuwa imechanika kwenye harakati nikaishi nayo.
Subiri migebuka tuNachanganya na la nani tena😃
Sawa usisahau..Subiri migebuka tu
SiweziSawa usisahau..
Ulale unono!Siwezi
Nibless tu hapoUlale unono!
Leo naumwa acha tu!Nibless tu hapo
So migebuka hautawezanaLeo naumwa acha tu!
Poleee sana ningekua kilingeni ningekuaguaLeo naumwa acha tu!