Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Kuchunguliwa wapiYaani huduma nyingine anihudumie mwanaume..
Kuuliza maswali Nini,ila linapokuja suala la sindano na kuchunguliana basi napenda awe mwanamke.
Wanawake wengi tuna roho mbaya hatari.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Kuna jamaa namfahamu, back in days ni miaka mingi imepita, alinipa story kuna mama wa makamo alikuja hospital njia ya mkojo imeziba, jamaa alikuwa ndio yupo pale, kijana mdogo tena yupo field, njia pekee ni kuchomeka ki bomba kwenye tundu la mkojo.
Yule mama alipoambiwa utaratibu faster sana, nguo ya ndani ipo chini, jamaa akachukua straw akachomeka, akaingiza ndani, mkojo fyuuuuuuuu kwenye chupa, mkojo umebadilika na rangi yaelekea ulikaa muda mrefu.
Yule mama akamuchia na pesa jamaa "mwanangu asante" [emoji23][emoji23][emoji23]
ukitaka matibabu aibu toa, yaani jamaa ananiambia yule mama ki umri anamzaa [emoji23][emoji23], lakini alikuwa bado mgeni kazini, hopefully ashakuwa mzoefu.
Kijana kijanaMateja kwato .Nimezielewa hizo kwato.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimejaribu ku keep up na watu ku chat naona nimeelemewa, ku chat ni kipaji
Siku njema wapendwa.
Wadada wana malingering tu utakuta mdada mkubwa ukimuuliza demographic (umri) anataja 26 muulize amezaliwa lini anafikiria tena π π
Ila mm nikionaga nyonyo tu jaman akili yangu inapochanganyikiwa hapoKwenye K
Na manyonyo
Kichaa wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Mtoko tayari sio[emoji848]
Usiniangushe sasa
Maji ayaite mmmaa
Dokta hb huwa anavutia kuendelea kuongea naye..ila siyo unichome sindano.Wadada wana malingering tu utakuta mdada mkubwa ukimuuliza demographic (umri) anataja 26 muulize amezaliwa lini anafikiria tena [emoji28][emoji28]
Hahahaaa!!Wadada wana malingering tu utakuta mdada mkubwa ukimuuliza demographic (umri) anataja 26 muulize amezaliwa lini anafikiria tena π π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti ka sindano sijui ka diclofenac ndio ujilize lize hovyo? Haiingii akilini
Sio dr sasa mtu yeyote ata akiwa kondaktaDokta hb huwa anavutia kuendelea kuongea naye..ila siyo unichome sindano.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Naonaga nacheka tu ila ukiliona lizuri unaliungiaππHahahaaa!!
Ah sahihiVipimo vingine vya kijinga sana,
Kuanza kuchokonoana kizembe aisee!
Ngumu sana.
Mh...jiraniWanawake!???
ππππ tuki vote mie I canβt vote for them aisee, talking with experience!
Nurse na doctors wa kiume mara nyingi wako cool Kuliko KE
Pole QueenDeby unaumwa nn Tena malkia wangu mremboOooh Wigelekelo nashukuru kwa kunikumbuka. Niko naumwa jamani, hoi taabani. Mpaka kuingia huku nashindwa kabisa. Nina dozi ya sindano[emoji382]
Uza bashtola ununue vochaHata wikiend vocha hamna
Kweli jirani ππMh...jirani