Selfika na JF: Snap it. Show it

Vipimo vingine vya kijinga sana,

Kuanza kuchokonoana kizembe aisee!
Ngumu sana.
Nilikuwa napata story chuo, dr wa dispensary ya chuo alikuwa na kamchezo kwa wahanga..
Ana kupima kwa techniques ambazo anajua ataamsha atakavyoamsha..

Kuna madokta wengine hawafati ethics za kazi zao kabisa….

Sasa ukikutwa ndio utajua hujui 😁ni kipimo cha kijinga au nini…
 
Acha tu shos !! Hiko kitengo sio poa kabisaaa!! Nilijikaza aniattend haraka nitoke zangu asijeanzisha balaa pale!!
Akimaliza kuchoma sindano anakufutafuta takoo.

Ila ni ngoma draw..Kuchoma mwanaume sindano ni raha pia..na wasivyopenda kuchunguliwa matakoni,,basi unashika tako lake
.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 

Maeneo mengine ni ya kuweka mbali na watu.

Mwingine anakuaambia tuone

Unafunua aone...hii ilimkuta ndugu yangu.


Aisee mimi nitamwambia dokta kuwa tatizo lipo kama nilivyokuambia.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Huyo alikuwa ni mzabzab alishahadithia hiko kisa, sema mlikuwa hamjuani, na alifungulia na uzi sema mods waliufunga.
 
mama usinikumbusheee hawa madokta hawa
 
Teh kweli wahenga walikuwa sawa "mficha uchi hazai". Kuna muda utajifunua mwenyewe bila hata kuambiwa
 
Akimaliza kuchoma sindano anakufutafuta takoo.

Ila ni ngoma draw..Kuchoma mwanaume sindano ni raha pia..na wasivyopenda kuchunguliwa matakoni,,basi unashika tako lake
.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hata, kitu ambacho hatupendi ni mwanaume mwenzangu anishike tako, aisee tena anifute alipochoma nitampiga ngumi.

Bora mwanamke anichome.
Au kipimo cha tezi dume, bora mwanamke, mwanaume mwenzio mnaweza ishia kuvuragana mpelekwe polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…