Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,233
Get well ASAP..Oooh Wigelekelo nashukuru kwa kunikumbuka. Niko naumwa jamani, hoi taabani. Mpaka kuingia huku nashindwa kabisa. Nina dozi ya sindano![]()
Get well ASAP..Oooh Wigelekelo nashukuru kwa kunikumbuka. Niko naumwa jamani, hoi taabani. Mpaka kuingia huku nashindwa kabisa. Nina dozi ya sindano![]()
Hahahahah, kumbe kisukuma kigumu hivyo! Wachs niongee kidaslamu basi unielewe mama.Duh sijakuelewa
Hukuangalia ICU? 😆😆😆Unyonge dhambi😂😂
Faiza kafanyaje nimepitwa
Anza kuweka yako mkuu uisalimie selfika after a Long time sasa!!Naombeni na mie tupicha nisafishege tumacho twangu maana kitambo sijatembeleamo humu. Ka weekend spesho
OkayHahahahah, kumbe kisukuma kigumu hivyo! Wachs niongee kidaslamu basi unielewe mama.
Hahahah mzee wa kamatia fursaDahhh napendaga walimu wapya wanavyozurura hawana maelekezo yeyote unajivutia mmoja unaishi naye
Kuna marubani pia humu😁Wadada wote wako na vyuraaa
Wote wako na rangi tamu ‘white na chocolate…
Wote wako na miguu za bia🤣
Wakaka wote wako na funguo za Toyota
Wote walisoma MA abroad 😄
Ni ma meneja na ma incharge..
Unyonge hukooo unakodaiwa bills 😁😁😁🕺🕺🙂💃💃
Okay
Jana naingia ndio inaishia.Hukuangalia ICU? 😆😆😆
Tafuta marudio..
Natumia PC kasimu kangu walinisaidia kutunza wahuni flani.Anza kuweka yako mkuu uisalimie selfika after a Long time sasa!!
Ugua pole dearOooh Wigelekelo nashukuru kwa kunikumbuka. Niko naumwa jamani, hoi taabani. Mpaka kuingia huku nashindwa kabisa. Nina dozi ya sindano![]()
Pole sanaOooh Wigelekelo nashukuru kwa kunikumbuka. Niko naumwa jamani, hoi taabani. Mpaka kuingia huku nashindwa kabisa. Nina dozi ya sindano![]()
Jirani hongera, unamshushia mtu mistari...Ndiriri! ndiriri! ndiriri! ndiriri! ndairi!
Ndiriri! ndiriri! ndiriri! ndiriri! ndairi!
Naitoshe kusemaaa..
Mimi na ku pendaa sanaa..
Na nashindwa kuhemaaa..
Utamu ya ma nyama nyama ..nyamaaa..
Oya baby come come
Nataka nikuonyeshe mashamsham
My honey he’s so sweaty
Yani tamu tamu
If he sing a song mi najam jam mmh
Eh! 🎤 🎤 Lenie 🕺 🕺 💃
Na ma Eng 🤣🤣Kuna marubani pia humu😁
Asante kipenzi. Niombeeni nipone Kwa haraka nije nilete mrejesho wa mazoeziPole Queen
Ugua pole dear

Yani alafu kila mtu ana hela umu kasoro mimiNa ma Eng 🤣🤣
Na ma dakitare wale ma spesholist
Na kuna wewe 😅😅 nitaje?
Salama tu vipi wewe ?Uko poa lakini?
Mkuu hebu nitag basiKwa mzigo huu sidhan kama Kuna semina yeyote inakupita![]()
Hela huna? Ilo bando wanagawa wapi bure? 😄😄Yani alafu kila mtu ana hela umu kasoro mimi