Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Last week sijaangalia, imenipita hiyo.

Ila alikua na ubabe sana af akataka kuwadhulumu wale waliompa sapoti.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ilikua inamuuma wenzake kula mali alizochuma na mumewe, haijui dini huyo atakua
Saa 1 hujafika nyumbani? Unapitaga wapi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ni mbabe bado, ila washamkomesha kwa kumuibia karatasi na simu.. sahivi anahahaโ€ฆ

Sasa inakuuma nini? Na wakati mtaendelea kuzichuma nyingine zijae? Wake wenzKe si walikuwa wanafanya kazi shambani piaโ€ฆ
 
Back
Top Bottom