Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Eeh
Naona kashaibiwa karatasii.. nimefurahi
Me nilianza kuwaonea wenzake huruma licha yakuwa walivamia ndoa za watu 😃😃

Kwenye islamic it’s allowed mpaka 4 wives… sasa mke mkubwa hasira za nini
Last week sijaangalia, imenipita hiyo.

Ila alikua na ubabe sana af akataka kuwadhulumu wale waliompa sapoti.

😂😂😂 ilikua inamuuma wenzake kula mali alizochuma na mumewe, haijui dini huyo atakua
 
Back
Top Bottom