Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,332 Jun 17, 2022 #219,821 spidernyoka said: Madam Click to expand... Marahabaaaaaa mdogo wangu!!
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,029 Reaction score 21,532 Jun 17, 2022 #219,822 Heaven Sent said: Daah kwa kweli tunapata tabu sio kidogo. Mtu akipita tu na kaharufu kake hujakaelewa, unaumwa siku 3 hoi; nyieeee. Wakati mwingine inabidi ujitenge na watu, kuavoid hizo harufu Click to expand... Basi wengine ukisema usimhug sasa 🙌 utaambiwa una dharau watu
Heaven Sent said: Daah kwa kweli tunapata tabu sio kidogo. Mtu akipita tu na kaharufu kake hujakaelewa, unaumwa siku 3 hoi; nyieeee. Wakati mwingine inabidi ujitenge na watu, kuavoid hizo harufu Click to expand... Basi wengine ukisema usimhug sasa 🙌 utaambiwa una dharau watu
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,029 Reaction score 21,532 Jun 17, 2022 #219,823 Antonnia said: Marahabaaaaaa mdogo wangu!! Click to expand... Heh
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,332 Jun 17, 2022 #219,824 spidernyoka said: Heh Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Mbona mshtuko!!
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Jun 17, 2022 #219,825 Post M-alone said: Sasa unaninyima hata nguvu za kuweka picha. Click to expand... Unataka nikaibe eeeh?? Naomba picha basi. Nitakununulia ya miatano.
Post M-alone said: Sasa unaninyima hata nguvu za kuweka picha. Click to expand... Unataka nikaibe eeeh?? Naomba picha basi. Nitakununulia ya miatano.
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Jun 17, 2022 #219,826 spidernyoka said: Basi wengine ukisema usimhug sasa 🙌 utaambiwa una dharau watu Click to expand... Aah hapana kwa kweli; Mimi nikinusa tu harufu na sielewi namwambia tu mtu asinisogelee. Uzuri wengi wameshanizoea sasa
spidernyoka said: Basi wengine ukisema usimhug sasa 🙌 utaambiwa una dharau watu Click to expand... Aah hapana kwa kweli; Mimi nikinusa tu harufu na sielewi namwambia tu mtu asinisogelee. Uzuri wengi wameshanizoea sasa
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Jun 17, 2022 #219,827 spidernyoka said: Simply tunaita allergic rhinitis Click to expand... Mkuu unatumia dawa gani? Hii shida imenisumbua hadi nimekata tamaa...bado sijaikubali.
spidernyoka said: Simply tunaita allergic rhinitis Click to expand... Mkuu unatumia dawa gani? Hii shida imenisumbua hadi nimekata tamaa...bado sijaikubali.
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,029 Reaction score 21,532 Jun 17, 2022 #219,828 Heaven Sent said: Aah hapana kwa kweli; Mimi nikinusa tu harufu na sielewi namwambia tu mtu asinisogelee. Uzuri wengi wameshanizoea sasa Click to expand... Zaman ilkua mild ila kwa sasa yani mpaka mafuta ya alizeti yani ata harufu ya ⛽
Heaven Sent said: Aah hapana kwa kweli; Mimi nikinusa tu harufu na sielewi namwambia tu mtu asinisogelee. Uzuri wengi wameshanizoea sasa Click to expand... Zaman ilkua mild ila kwa sasa yani mpaka mafuta ya alizeti yani ata harufu ya ⛽
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,029 Reaction score 21,532 Jun 17, 2022 #219,829 Saint Anne said: Mkuu unatumia dawa gani? Hii shida imenisumbua hadi nimekata tamaa...bado sijaikubali. Click to expand... Hio ni allergy matibabu yake makubwa ni kuavoid allergens pili ndo unatumia izi antihistamines kama citrizen
Saint Anne said: Mkuu unatumia dawa gani? Hii shida imenisumbua hadi nimekata tamaa...bado sijaikubali. Click to expand... Hio ni allergy matibabu yake makubwa ni kuavoid allergens pili ndo unatumia izi antihistamines kama citrizen
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Jun 17, 2022 #219,830 spidernyoka said: Situmii kinukizi chochote wala mafuta ya kunukia nikimhug mtu ananukia hata kidogo naumwa hapo hapo Click to expand... Nivea dry impact ni nzuri ati..kwa watu kama sisi. Dokta wangu alikuwa ananifokea sana..naenda nanukia kama jini..Akasema sasahivi ukija uwe umetumia nivea tu!nyngine achana nazo. Na mimi siwezi kuacha maana naona hata nisipotumia shida iko palepale.
spidernyoka said: Situmii kinukizi chochote wala mafuta ya kunukia nikimhug mtu ananukia hata kidogo naumwa hapo hapo Click to expand... Nivea dry impact ni nzuri ati..kwa watu kama sisi. Dokta wangu alikuwa ananifokea sana..naenda nanukia kama jini..Akasema sasahivi ukija uwe umetumia nivea tu!nyngine achana nazo. Na mimi siwezi kuacha maana naona hata nisipotumia shida iko palepale.
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Jun 17, 2022 #219,831 Saint Anne said: Mkuu unatumia dawa gani? Hii shida imenisumbua hadi nimekata tamaa...bado sijaikubali. Click to expand... Cetirizine Loratadine
Saint Anne said: Mkuu unatumia dawa gani? Hii shida imenisumbua hadi nimekata tamaa...bado sijaikubali. Click to expand... Cetirizine Loratadine
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,029 Reaction score 21,532 Jun 17, 2022 #219,832 Saint Anne said: Nivea dry impact ni nzuri ati..kwa watu kama sisi. Dokta wangu alikuwa ananifokea sana..naenda nanukia kama jini..Akasema sasahivi ukija uwe umetumia nivea tu!nyngine achana nazo. Na mimi siwezi kuacha maana naona hata nusipotumia shida iko palepale Click to expand... Mimi mafuta labda Vaseline
Saint Anne said: Nivea dry impact ni nzuri ati..kwa watu kama sisi. Dokta wangu alikuwa ananifokea sana..naenda nanukia kama jini..Akasema sasahivi ukija uwe umetumia nivea tu!nyngine achana nazo. Na mimi siwezi kuacha maana naona hata nusipotumia shida iko palepale Click to expand... Mimi mafuta labda Vaseline
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Jun 17, 2022 #219,833 spidernyoka said: Zaman ilkua mild ila kwa sasa yani mpaka mafuta ya alizeti yani ata harufu ya Click to expand... Duuh hatari sana
spidernyoka said: Zaman ilkua mild ila kwa sasa yani mpaka mafuta ya alizeti yani ata harufu ya Click to expand... Duuh hatari sana
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,029 Reaction score 21,532 Jun 17, 2022 #219,834 Heaven Sent said: Cetirizine Loratadine Click to expand... Nkionaga bado napigaga prednisone mimi 😁
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Jun 17, 2022 #219,835 Depal said: Mi Sijambo… Mameneja na ma sekretari nao naimani hawajambo.. Mweka hazina sijamuona kitambo 😂 Click to expand... Aki si nimewamiss! Mweka hazina atakua yuko likizo bado. Madereva nao wanaendeleaje?😂
Depal said: Mi Sijambo… Mameneja na ma sekretari nao naimani hawajambo.. Mweka hazina sijamuona kitambo 😂 Click to expand... Aki si nimewamiss! Mweka hazina atakua yuko likizo bado. Madereva nao wanaendeleaje?😂
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Jun 17, 2022 #219,836 spidernyoka said: Nkionaga bado napigaga prednisone mimi Click to expand... Zinasaidia pia eeh? Nikajua tu kwa watu asthmatic
spidernyoka said: Nkionaga bado napigaga prednisone mimi Click to expand... Zinasaidia pia eeh? Nikajua tu kwa watu asthmatic
Gallius JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,999 Reaction score 8,353 Jun 17, 2022 #219,837 Depal said: Abee Click to expand... Nipe sehemu tulivu kwa tanga ambapo nitakunywa kwa amani
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,029 Reaction score 21,532 Jun 17, 2022 #219,838 Heaven Sent said: Zinasaidia pia eeh? Nikajua tu kwa watu asthmatic Click to expand... Haipo indicated ni kufosi ila kama una mafua yanapotea fasta kiasi
Heaven Sent said: Zinasaidia pia eeh? Nikajua tu kwa watu asthmatic Click to expand... Haipo indicated ni kufosi ila kama una mafua yanapotea fasta kiasi
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Jun 17, 2022 #219,839 Depal said: Saint Anne Rinda hizo…View attachment 2263981 Click to expand... Hivi wenzangu mnazinyooshaga kawaida au? Nikiwaza hayo marinda...
Depal said: Saint Anne Rinda hizo…View attachment 2263981 Click to expand... Hivi wenzangu mnazinyooshaga kawaida au? Nikiwaza hayo marinda...
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Jun 17, 2022 #219,840 spidernyoka said: Haipo indicated ni kufosi ila kama una mafua yanapotea fasta kiasi Click to expand... Ooh sawa
spidernyoka said: Haipo indicated ni kufosi ila kama una mafua yanapotea fasta kiasi Click to expand... Ooh sawa