Itakuwa a brother from another motherWewe na Zero IQ mna undugu mkuu?
Itakuwa a brother from another motherWewe na Zero IQ mna undugu mkuu?
🤣🤣🤣🤣Itakuwa a brother from another mother
Nachukua notesMbona hujamwekea na sauvage dior?
Ile og yake inanukia sana… ina smell kimahaba 🙈🙈
Nachukia notesGiorgio armani ,obsession , Eternity , Ck , Tom Ford
Hata kuna mafuta mazuri ya kiume yakupaka nayo mazuri pia ...
Vyema rafikiNachukia notes
Mie nikikukamata nitahakikisha unasema ''Shiiiit'
Kadiri unavyozidi kunizungusha ndivyo adhabu inavyozidi kuongezeka.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tafuta Black opium,changanya na scandal.Ngoja nitaanza kufanya hvyo unyunyu gan mkali wa kumngoa slay queen
Wewe tajiri chukua creed Aventus.Nachukia notes
Usijali nitaweka picha, nikiweka tu naku tag.Nikikukamata utasema "JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala"
Kadiri unavyozidi kunizungusha ndivyo adhabu inavyozidi kuongezeka.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Weee
Tatizo siyo wewe kuweka..Usijali nitaweka picha, nikiweka tu naku tag.
Ukiona ukikaa inavuka magoti ujue umedharau wakubwa.Weee
Sababu nimekaaa… inavuka goti hiyo
Sawa mkubwa size ya kati..Ukiona ukikaa inavuka magoti ujue umedharau wakubwa.
Ukasema ujawah fika ARYooh weekend… View attachment 2263865
Ametudharau wakubwa😂Hujakengeuka kivileeeeee![]()
😂😂😂kwamba sijakengeuka sana..Hujakengeuka kivileeeeee![]()