cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,299
Nimekosaaaaa zoteeee.Umekosa tena??
Watu wanakariri namba saba-saba, akiangalia mara mbili tu anajaza bila kurudia![]()
Daaaah,

Nimekosaaaaa zoteeee.Umekosa tena??
Watu wanakariri namba saba-saba, akiangalia mara mbili tu anajaza bila kurudia![]()

😋😋😋 Namalizia hapaNayapenda mnooo na jana dina yangu mayai yalihuu! sles zangu 3 mayai matatu na maziwa fresh aaaahhhh!!View attachment 2263556
Diet hiyo shougaaa hapana.Nayapenda mnooo na jana dina yangu mayai yalihuu! sles zangu 3 mayai matatu na maziwa fresh aaaahhhh!!View attachment 2263556

Niwekee PM cuzooo, hizo vochaaa.hizo ni kwaajili yako tyu naogopa nkiweka hapo utakosa tena,tafadhal tuma hiyo namba pls
Mie Sili sana shos nashangaa tu hiki kitambi sijui kinatoka wapi yani nakula kidogo mnoo!! Nina mayai mengi sana shos ungekua huku ningekuletea tu shos akee!!Diet hiyo shougaaa hapana.![]()
Hayo ni maziwa fresh!!??😋😋😋 Namalizia hapaView attachment 2263558
Ndio ndio maziwa fresh 🙂🙂Hayo ni maziwa fresh!!??
Lol😋😋😋😋😋😋!! !!Ndio ndio maziwa fresh 🙂🙂
Kwa jinsi ninavyopakia msosi, sinenepi bas tyuuh, kwenye kula sijibani.Mie Sili sana shos nashangaa tu hiki kitambi sijui kinatoka wapi yani nakula kidogo mnoo!! Nina mayai mengi sana shos ungekua huku ningekuletea tu shos akee!!

niliwahi enda hotel fulaan, nikipakia msosi, niliyeenda nae akanambia nimemuaibisha, nkamjibu ulitaka nitapike? Kwan tuliagiza menu ilu tule au tumwage, 

Daaah watu tupo tofauti sana, tarehe 03 nilikuwa dodoma maeneo ya ILAZO,baadae jioni nikaenda na...wangu kupata msosi kule CBE eti alataka kubakiza nyama kashiba.....nilamwambia azimalizie kwa lazima na alizifuta zote.Kwa jinsi ninavyopakia msosi, sinenepi bas tyuuh, kwenye kula sijibani.
niliwahi enda hotel fulaan, nikipakia msosi, niliyeenda nae akanambia nimemuaibisha, nkamjibu ulitaka nitapike? Kwan tuliagiza menu ilu tule au tumwage,
Eti nibakize kidogo, mbna hela hatubakizi kdg tunatoa yote kulingana na bei, msieeeeew.
![]()
Hahahaaa!! Mie napenda kula kula ila kidogo kidogo na kwa awamu!! Hapo saa 11 juoni nilikula tena kidogo!!Kwa jinsi ninavyopakia msosi, sinenepi bas tyuuh, kwenye kula sijibani.
niliwahi enda hotel fulaan, nikipakia msosi, niliyeenda nae akanambia nimemuaibisha, nkamjibu ulitaka nitapike? Kwan tuliagiza menu ilu tule au tumwage,
Eti nibakize kidogo, mbna hela hatubakizi kdg tunatoa yote kulingana na bei, msieeeeew.
![]()
Diet hiyo shougaaa mmmhHahahaaa!! Mie napenda kula kula ila kidogo kidogo na kwa awamu!! Hapo saa 11 juoni nilikula tena kidogo!!
Mie Sitaki utani nikibakiza huwa nawaambia wahudumu wanifungie naondoka nacho siachi kitu aisee!!Daaah watu tupo tofauti sana, tarehe 03 nilikuwa dodoma maeneo ya ILAZO,baadae jioni nikaenda na...wangu kupata msosi kule CBE eti alataka kubakiza nyama kashiba.....nilamwambia azimalizie kwa lazima na alizifuta zote.
Nikahundua wengine huwa wanavunga kwa kuhisi wataaibika kwetu kumbe sio, me kwakweli huwa napenda nikianza kula nile HASWAAA.
Daaah watu tupo tofauti sana, tarehe 03 nilikuwa dodoma maeneo ya ILAZO,baadae jioni nikaenda na...wangu kupata msosi kule CBE eti alataka kubakiza nyama kashiba.....nilamwambia azimalizie kwa lazima na alizifuta zote.
Nikahundua wengine huwa wanavunga kwa kuhisi wataaibika kwetu kumbe sio, me kwakweli huwa napenda nikianza kula nile HASWAAA.

ndyoo hasa wadada etii oooh mdada kula sana ni aibu, wakiwa peke yao wanakafua msosi km tipper ya beba kokoto, ila wakiwa na... Zao au sehemu ya wazi wanajibana. 

Mie Sitaki utani nikibakiza huwa nawaambia wahudumu wanifungie naondoka nacho siachi kitu aisee!!

take away.!!!!Ndio shos siachi kitu nafungaaaa!!take away.!!!!
Wewe ni zaidi ya hatareeeeendyoo hasa wadada etii oooh mdada kula sana ni aibu, wakiwa peke yao wanakafua msosi km tipper ya beba kokoto, ila wakiwa na... Zao au sehemu ya wazi wanajibana.
Sina muda huo, nakula had nishibe, nisiposhiba naongeza labda hela isiwepo,![]()

HahahaKwa jinsi ninavyopakia msosi, sinenepi bas tyuuh, kwenye kula sijibani.