Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna michezo tu anko!!
IMG_20220617_115816.jpg
 
Vocha watu mnaingiza haraka mnooo. Tena za vodaaa,
Nadandia nipate kulipa Songesha ila holllaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watu wabaya nyieee woiiiiiih
hahahahaha!leta namba nikuingizie vocha fasta
 
Vocha watu mnaingiza haraka mnooo. Tena za vodaaa,
Nadandia nipate kulipa Songesha ila holllaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watu wabaya nyieee woiiiiiih
Umekosa tena??

Watu wanakariri namba saba-saba, akiangalia mara mbili tu anajaza bila kurudia [emoji23]
 
Back
Top Bottom