DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,900
Why faking shit like that ?Mwandiko wa kimanzi kabisa alikua nao...
Why faking shit like that ?Mwandiko wa kimanzi kabisa alikua nao...
Why faking shit like that ?
Mimi nafurahia neema za Allah
Nina mashaka na wewe
Pole kubwa 😂😂😂😂😂ndio ndio
Abeeeeh
MhSisemiii
Kwahiyo sisi wanaume etiiiMuulize aisee..mimi manzi akiweka picha hapa bila kushika kikaratasi kilichoandikwa jf ni ngumu kumwamini
Ebu njo wozap unipe huu umbeaKuna mwingine nilimshtukia jana
Ndio shemKwao ????
Mjeda nakusalimia tu mimiNaona unatupia likes tu......umeona sasa hiyo ndo kazi yangu sio ile nyingine ile MT![]()
Ulizamapo pm nini mzee babaTukio la mshubate lilinitoa kwenye huu uzi automatically![]()
Mwenyewe mekwama kabisaa!
Najikuta naganda humu tuu!
Yaani nyie wawili hapa ndio kwenuIla huu uzi unarudisha maendeleo yangu nyuma yaani siku hizi najikuta sisomi tena nyuzi nyingine humu jf nashinda kwenye huu uzi tu,, maana kila nikiingia kwenye notifications nakuta "fulani liked your post in selfika na jf snap it show it" au "fulani quoted your post in selfika na jf snap it show it"..
Hadi nimalize kulike na kuquote comment zao tena tayari siku imeisha na ninakuwa nimeshachoka kiasi cha kushindwa kuendelea kusoma nyuzi nyingine,, daah ninyi wadau mlioweza ku get over this thread naombeni siri ya mafanikio maana mimi sijui nakwama wapi msaada wajameni..
Ningefurahia mngeanza kunishukuKwamba wewe hujafurahia ile picha![]()