😃😃😃 kuna watu hadi leo chali bado hawaja nyanyuka.. kuna dingi moja lilikuwa kutwa linaenda kula bata Manhattan ... ila mwamba alipukutisha huwezi amini aliuza gari zake zote, hela akamaliza akawa anapiga mzinga hata wa laki moja 😃😃😃 na wapo wengi japo wengine ndio kidogo wanaanza kutoka mavumbini ingawa napo kwa taabu sana🤣🤣🤣🤣🤣umenimbusha alipoingia ngosha kitini miradi mingi ilisimama..
Hali ilibadilika ndani ya mwaka hadi mtu unaogopa kuingia mjini.
Lakini wanaume walipomjulia mambo yakanyooka balaa
Awapi!!Kuna watu wanafaidi nyie raha ya mwanamke tako
Huwa nachoka kukaa.Ungenambiaa nikisuke.
Cuzoooooooh niwache kwan, nawee n 2Pav wa wapi? Vikindu?coca hanikolomei sema ni fikra zake zinazomtuma awe wa namna hiyo
Mimi mdgo ako nipo hapa loyal kwako siku zote[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Kuna baadhi ya kazi ukiyumba hutakaa unyanyuke daima.😃😃😃 kuna watu hadi leo chali bado hawaja nyanyuka.. kuna dingi moja lilikuwa kutwa linaenda kula bata Manhattan ... ila mwamba alipukutisha huwezi amini aliuza gari zake zote, hela akamaliza akawa anapiga mzinga hata wa laki moja 😃😃😃 na wapo wengi japo wengine ndio kidogo wanaanza kutoka mavumbini ingawa napo kwa taabu sana
Kwenye hii miradi tunatakiwa kuna saving kubwa sana, na vyanzo.mbadala vya kukuingizia kila siku kiasi flani.. ili hata kama ukiwamba huku , unaokolewa na pengine🤣🤣🤣🤣🤣umenimbusha alipoingia ngosha kitini miradi mingi ilisimama..
Hali ilibadilika ndani ya mwaka hadi mtu unaogopa kuingia mjini.
Lakini wanaume walipomjulia mambo yakanyooka balaa
Swaggzzz!!!!View attachment 2262890
Hello Anne.
Sijakuacha jamani, ntakutag wa kwanza😀financial services ndo umeniacha mataa
Hahahaaa!! Niitie katibu wangu Hustler one pullliiizzzzzzzzzzzzzzz mwambie chair nimemiss sana!!Mshajua kwann sasa naipenda 4 na 9
2213 hiiSijakuacha jamani, ntakutag wa kwanza😀
Dah! Ebu acha niamke nizisake hela.. hii kauli imepiga mahala 😃😃😃😃Kuna baadhi ya kazi ukiyumba hutakaa unyanyuke daima.
Zitabaki stori mkuu
Kuna haja sana pia kuwekeza kidijitali mkuu, huku tuendako ni pazito sana.Kwenye hii miradi tunatakiwa kuna saving kubwa sana, na vyanzo.mbadala vya kukuingizia kila siku kiasi flani.. ili hata kama ukiwamba huku , unaokolewa na pengine
UsinisahauSijakuacha jamani, ntakutag wa kwanza[emoji3]
Kwakweli nahama shos![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shougaaa angu, usinichekeshe mie, khaaah.
Hebu hama haraka huko.
Mamdo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahh kwani Mjep hajapona tu jamani atupee vocha huyu mtu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Mambeleeee. Noumaaaah[emoji847][emoji847][emoji847]View attachment 2263002