Sure , na huo ndio ukweli.. ila kipindi cha kusubiri kama huku jenga chanzo kingine lazima upauke .. na ndio maana wakilamba mizigo nikutuliza maumivu kwa bata matata au unakuta mtu chap anajipa li V8 kwanza.. kupozea machungu ya kipindi cha mpito 😃😃🙂