Yeeeh ilikuwa testNi test au ?
Faraghani?
Hapana,Faraghani?

Sisi wapenzi wa Mbege mawazo yalishaenda mbali, kuangalia vizuri kumbe Uji🚶🚶
Hahaha ungetia kilemba chako amazing?Hapana,
Kanisani tu.
Faraghani naendaje na hizi nywele
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hahaha ungetia kilemba chako amazing?

Sisi wapenzi wa Mbege mawazo yalishaenda mbali, kuangalia vizuri kumbe Uji![]()

ni kahawaSawa mpendwa.
Mtaani naonana na wapendwa..
Ila chini nilivaa marinda,, nywele tu imeniharibia.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wapendwa wanisamehe tu aiseee..Sawa mpendwa.
Hahaha naomba usimpeleke kabisa. Wewe tu imekushinda, yeye ndiyo atatoka nduki kabisa. Na utamvalisha suruali gani?Wapendwa wanisamehe tu aiseee..
Nitarudi baadaye Mungu akipenda.
Nimpeleke na mdogo wako??
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Brod darling uchebeeeee
Nimegundua kumbe huu sio mda mzuri kutupia😀Brod darling uchebeeeee
Hahaha ukahisi hakuna watu kabisa? Huwa tunatokea tu muda wa picha😂😂😂😂😂😂Nimegundua kumbe huu sio mda mzuri kutupia😀
Macho ya Uzee haya shida tupu Mjukuu, mniletee Miwani Kwa kweli 🤪
Haha, imebidi niivute uvunguni fasta!!Hahaha ukahisi hakuna watu kabisa? Huwa tunatokea tu muda wa picha😂😂😂😂😂😂
Sio fair kabisa 😂😂Haha, imebidi niivute uvunguni fasta!!