cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jun 15, 2022 #218,461 Mac Alpho said: Pamoja sana Click to expand... Weraaaa weraaaah.
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,791 Jun 15, 2022 #218,462 QueenDeby said: Nikutumie nini? Click to expand... Mguu tu yani nipo sheli hapa nasubir Mguu wako tu
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jun 15, 2022 #218,463 Grahams said: View attachment 2261621 Kuna watu hata Lita 1 hawamalizi Kwa siku, make sure you drink it Hello everyone Click to expand... Apple daah. Noumaaaah.
Grahams said: View attachment 2261621 Kuna watu hata Lita 1 hawamalizi Kwa siku, make sure you drink it Hello everyone Click to expand... Apple daah. Noumaaaah.
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,791 Jun 15, 2022 #218,464 cocastic said: Akuuuuh. Click to expand... Me too akuuuuh
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Jun 15, 2022 #218,465 Tinsley said: Ah nimetamani kupata series hiyo Ninampenda huyu dada Rachel McAdams naona anacheza part ya Irene Adler. Oh really Asante .. ni simple usiruhusu hisia zijibu Just be humble ... Click to expand... Atakaekuoa Lazima ajue english kozi Mimi darasa la 3B nakuanzia wapi Ugali kwa kizungu unaitwaje tena
Tinsley said: Ah nimetamani kupata series hiyo Ninampenda huyu dada Rachel McAdams naona anacheza part ya Irene Adler. Oh really Asante .. ni simple usiruhusu hisia zijibu Just be humble ... Click to expand... Atakaekuoa Lazima ajue english kozi Mimi darasa la 3B nakuanzia wapi Ugali kwa kizungu unaitwaje tena
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jun 15, 2022 #218,466 QueenDeby said: Hata mtoto wa mama mkwe sinaga muda wa kununa.. nakuchana live mambo yanasonga.. siku nikinuna ujue umenikera sanaaaaaaaaaa, na ukijua jinsi ya kumaliza mnuno tuu, ohooo sichelewi kucheka Click to expand... mbavu zangu mie uwiiiiiih.
QueenDeby said: Hata mtoto wa mama mkwe sinaga muda wa kununa.. nakuchana live mambo yanasonga.. siku nikinuna ujue umenikera sanaaaaaaaaaa, na ukijua jinsi ya kumaliza mnuno tuu, ohooo sichelewi kucheka Click to expand... mbavu zangu mie uwiiiiiih.
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Jun 15, 2022 #218,467 genetic said: Ehh man vp ni Pisi ya maana ina Tako na kifuani ipo vizur Click to expand... Tobaaaa
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jun 15, 2022 #218,468 genetic said: Me too akuuuuh Click to expand...
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jun 15, 2022 #218,469 QueenDeby said: Mi ukinikera sinuni mama, nakuambia papo hapo. Una hiari usuke au unyoe.. siwezi vimbisha mdomo Mimi siku nzima kisa mtu Click to expand... Ah bora kusema Kuliko kubaki na kitu moyoni Mpaka niongee aisee hapo kuna jambo na hasira zimezidi .
QueenDeby said: Mi ukinikera sinuni mama, nakuambia papo hapo. Una hiari usuke au unyoe.. siwezi vimbisha mdomo Mimi siku nzima kisa mtu Click to expand... Ah bora kusema Kuliko kubaki na kitu moyoni Mpaka niongee aisee hapo kuna jambo na hasira zimezidi .
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,707 Jun 15, 2022 #218,470 genetic said: Kweli man Click to expand... Kabisa, consequences zake ni kubwa sana ukiwa mvivu kunywa maji
genetic said: Kweli man Click to expand... Kabisa, consequences zake ni kubwa sana ukiwa mvivu kunywa maji
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Jun 15, 2022 #218,471 Shimba ya Buyenze said: Nyanya zangu zimekomaa huku Misungwi na early July nauza. Na Wasukuma unatujua tukiuza mazao yetu. sophy27 shahidi yaani. Kwa rangi na guu hilo pamoja na nilichokiona jana kwenye zile picha umesimama mweh! Click to expand... Nisimulie zaidi Nimepitwa Bagheshi
Shimba ya Buyenze said: Nyanya zangu zimekomaa huku Misungwi na early July nauza. Na Wasukuma unatujua tukiuza mazao yetu. sophy27 shahidi yaani. Kwa rangi na guu hilo pamoja na nilichokiona jana kwenye zile picha umesimama mweh! Click to expand... Nisimulie zaidi Nimepitwa Bagheshi
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,791 Jun 15, 2022 #218,472 Grahams said: Kabisa, consequences zake ni kubwa sana ukiwa mvivu kunywa maji Click to expand... Bia je vp
Grahams said: Kabisa, consequences zake ni kubwa sana ukiwa mvivu kunywa maji Click to expand... Bia je vp
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Jun 15, 2022 #218,473 genetic said: Mguu tu yani nipo sheli hapa nasubir Mguu wako tu Click to expand... Aah kumbeee, takutumia usiwaze.
genetic said: Mguu tu yani nipo sheli hapa nasubir Mguu wako tu Click to expand... Aah kumbeee, takutumia usiwaze.
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jun 15, 2022 #218,474 Wigelekelo said: Atakaekuoa Lazima ajue english kozi Mimi darasa la 3B nakuanzia wapi Ugali kwa kizungu unaitwaje tena Click to expand... Ah hamna Hata asipojua si mbaya mradi upendo tu upo Nabonga sana kiswahili hadi nasahau ngeli kabisa Ugali waitwa stiff porridge kwa kizungu
Wigelekelo said: Atakaekuoa Lazima ajue english kozi Mimi darasa la 3B nakuanzia wapi Ugali kwa kizungu unaitwaje tena Click to expand... Ah hamna Hata asipojua si mbaya mradi upendo tu upo Nabonga sana kiswahili hadi nasahau ngeli kabisa Ugali waitwa stiff porridge kwa kizungu
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,707 Jun 15, 2022 #218,475 cocastic said: Apple daah. Noumaaaah. Click to expand... Maliza Shule kwanza Mjukuu, hii utaipata tu ukishaanza kusaka maisha 💪
cocastic said: Apple daah. Noumaaaah. Click to expand... Maliza Shule kwanza Mjukuu, hii utaipata tu ukishaanza kusaka maisha 💪
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Jun 15, 2022 #218,476 cocastic said: mbavu zangu mie uwiiiiiih. Click to expand... ziache tu, ambulance ipo njiani
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jun 15, 2022 #218,477 Grahams said: Maliza Shule kwanza Mjukuu, hii utaipata tu ukishaanza kusaka maisha Click to expand... Yaan hatareeeeeeh hiyoo.
Grahams said: Maliza Shule kwanza Mjukuu, hii utaipata tu ukishaanza kusaka maisha Click to expand... Yaan hatareeeeeeh hiyoo.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jun 15, 2022 #218,478 QueenDeby said: ziache tu, ambulance ipo njiani Click to expand... Khaaaah,
Mac Alpho JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 13,999 Reaction score 27,975 Jun 15, 2022 #218,479 Grahams said: Maliza Shule kwanza Mjukuu, hii utaipata tu ukishaanza kusaka maisha Click to expand... Vipi kwa wale waliosoma huku wakiwa nazo?
Grahams said: Maliza Shule kwanza Mjukuu, hii utaipata tu ukishaanza kusaka maisha Click to expand... Vipi kwa wale waliosoma huku wakiwa nazo?
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Jun 15, 2022 #218,480 Tinsley said: Ah bora kusema Kuliko kubaki na kitu moyoni Mpaka niongee aisee hapo kuna jambo na hasira zimezidi . Click to expand... Huwa huwezagi kumwambia mtu ukweli?
Tinsley said: Ah bora kusema Kuliko kubaki na kitu moyoni Mpaka niongee aisee hapo kuna jambo na hasira zimezidi . Click to expand... Huwa huwezagi kumwambia mtu ukweli?