Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Heheee, nikuambie kitu, unamuona yule binti aliyefariki, yule aliyepigwa shaba, mungu anisamehe ni marehemu, kipindi hajaolewa rafiki yangu wa karibu alikuwa anatoka nae, alitaka kumnunulia Prado, ilikuwa bado kidogo sana.

Yule mdada namjua wanaishi CCM kirumba kwa nyuma, kuna siku nilitokaga DSM na gari.........basi ngoja niishie hapo , nilikuwa nacheka sana nyuzi za jf kumhusu, kuna moja mshana akaandika ashakuwa bar maid, eti ni mnyiramba, yule dada ni mrangi wa Dom, baba mrangi, mama mrangi, kuna siku jamaa yangu huyo alimleta DSM na ndege akamrudisha jioni na ndege.

Day amefariki jamaa alini contact whatsapp nikiwa nje akawa anasikitika sana ndipo nikapata taarifa., nilitokaga na gari DSM, kuna siku nilimpeleka hadi kwao na huyo jamaa yangu aliniomba, CCM kwa nyuma.... jamaa alitaka aache prado, kuna watu wanahonga.
Sijakataa, wanaume wanaohonga wapo ila ni kama bahati kumpata/kuwapata.

Ila kuna watu wana bahati zao. Na shida mwanamke anaweza pata hiyo bahati na hata asiitumie vizuri kwa manufaa yake mwenyewe.
 
Back
Top Bottom