Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
 
Heels zinanoga na usafiri private au Kama church na kwenye event hivi .
Sio hivi unaenda sehemu tu uzivae a tu
Utajuta na unaweza usipate seat kwa daladala
Mama ni hatari, kwa TZ 11 ujikute unazurura na heels utauona moto
hizi navaa mara chache sana kama nina mtoko na kuna usafir wa kueleweka vinginevyo vinakaaga tu kwene shoe rack. Kanisan navaa zile mid heels ambazo n easy hata kutembea kaumbali ka kishkaji.
 

Muhimu kutembea na viatu t vingine kama back up
Yeah lazima uwe na kausafiri hapo hauchoki kihivyo .

Hizo nzuri hazichoshi hata kwenye kucheza kanisani huyo unakuwa free tu mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…