Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]kwa hilo jiwe umeua ndege wangapi hadi hapo??
Yule alookoka anampenda Yesu
Yule alookoka anampenda Yesu
😂😂😂😂AiseeeHapana siku hizi dunia haiendi hivyo naanzaje kukusamehe bure sasa?? Siku hizi tunasameheana kwa pesa haya fanya chap naelekea kwa wakala saa hii!!
Naona umeficha kituu kaka mdogoLabda uniambie wewe unaonaje
Kivuli kimoja tu.! Ushawishi umeongezeka Nakuja PM
Kitochi hicho dada mpendwa 😁😁Naona umeficha kituu kaka mdogo
Nilijua tuu[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]yeleuwiiii,, nimefunga milango sitaki usumbufu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee
Leo yenyewe niliandika humu asubuhi kuwa ataenda church aniombee maana ndo kwanza tarehe 3 na nishachacha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HahahahahahaKitochi hicho dada mpendwa [emoji16][emoji16]
Naona umeficha kituu kaka mdogo
😂😂😂😂Nautaka sana jameni Ila hali tete😩[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona hutaki msamaha wewe!!
Nishautoa kitambo tu😆😆Hahahahahaha
Fanya kuuutoa basii
Hiyo ni samaki mkuu?
Thankee you SweetieLee.Waoooh'..!!
you're overwhelmingly beautiful.! [emoji7] [emoji7]
Kitochi hicho dada mpendwa [emoji16][emoji16]
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Baby doll
TotooooooDadaaaaa
Nilijua tuu
Unafungua lini eti jamani