Hapana jamani
Huyo unamuonea kabisaa! Sema ni vile ni kaka but ni mtu poa sana
Pampula kunywa tu.Naruhusiwa kuyanywa supu?![]()
Nitakumiss wiki ijayo.Badooo?



haki wanaume mna kazi,, kwahiyo hadi 'umepikcha' motion unayoijua wewe..
Ndo nikawa na picture hapa hicho kidevu kikiwa na move wakati unaongea hivyo![]()
Nimeicheki mida ndo maana nishasahau ni scene gani
Abeee kakaNakuona Dada yangu kipenzi
Nipe mualiko tu mama, fastaaaa nakuja.
Ukuje huku namtumbo sasa
Hizi emoji mbona kwenye tecno yangu hazipo?
uanaume si lelemama mama 😂 😂 😂 😂haki wanaume mna kazi,, kwahiyo hadi 'umepikcha' motion unayoijua wewe..
Karibu sana jamani auntieNipe mualiko tu mama, fastaaaa nakuja.
We jichetue tu.
Sasa hii miwa yangu ya nyongeza naiweka wapii