OkMmh sasa mkianza mambo ya ooh sijui kama kuna mwanamke kadate wanaume zaidi ya watano kumi sijui kutunga ooh comments nzuri nzuri blah blah blah; what do we call that? Kwamba wao hawafai au hawana haki ya kuchangia na kudate kwao kunazuia nini wao kutoa maoni yao? Ndiyo maana hata Biblia imeandika "watoza ushuru na makahaba watawatangulia mbinguni". Kila mtu ana haki ya kuongea, regardless ya status yake; kwa sababu Kila mtu ana maisha yake anayoishi na experiences zake.
Una hoja yako, bring it on the table In a peaceful way, tutajadiliana kwa hoja. Maisha unayoona nadharia, mwingine kwake ni reality, ndiyo uhalisia wake wa sila siku; DIVERSITY. So utu uzima ni pamoja na kukubali kuvisikia hata usivyotaka kuvisikia. Tujadiliane kwa hoja kama watu wazima. Hakukuwa na mashindano so sitegemei kuwa na mshindi wa chochote.
Mama mch. hakika wewe ni kichwaMmh sasa mkianza mambo ya ooh sijui kama kuna mwanamke kadate wanaume zaidi ya watano kumi sijui kutunga ooh comments nzuri nzuri blah blah blah; what do we call that? Kwamba wao hawafai au hawana haki ya kuchangia na kudate kwao kunazuia nini wao kutoa maoni yao? Ndiyo maana hata Biblia imeandika "watoza ushuru na makahaba watawatangulia mbinguni". Kila mtu ana haki ya kuongea, regardless ya status yake; kwa sababu Kila mtu ana maisha yake anayoishi na experiences zake.
Una hoja yako, bring it on the table In a peaceful way, tutajadiliana kwa hoja. Maisha unayoona nadharia, mwingine kwake ni reality, ndiyo uhalisia wake wa sila siku; DIVERSITY. So utu uzima ni pamoja na kukubali kuvisikia hata usivyotaka kuvisikia. Tujadiliane kwa hoja kama watu wazima. Hakukuwa na mashindano so sitegemei kuwa na mshindi wa chochote.
Nakazia ππ[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
View attachment 2260880
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
View attachment 2260880
πππNa Madelu kapandisha kodi ya mawigi. Na nisivyoyapenda hata kodi ingepanda kwa asilimia 1000 sawa tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2260874
Mkuu nitakutafuta unionyeshe maeneo.Kajioni haka matoto mazuri mazuri yanayo ng'aa ndio mita yao hii.. kujiongeza muhimu πππ maana wa humu hawatutaki kila mmoja ana mtu wake
Labda kama zitakuwa zinawekwa kwenye PM za mabinti, kibaya zaidi unaweza angalia avatar kumbe umeitumia njemba na ndevu zakeππ.[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
View attachment 2260880
Nipo online dearest Paula.Thank you Anne.
Sawa, ukiwa online naweka picha yangu.
Nakuambiaje mtoto mzuri, nipo single, hivi nifanye nini unielewe nipo single.Mmh! Na ule uhandsome upo singo kweli wewe[emoji848]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Weka mtoto mzuri, Anne ni jirani yangu, kama ilivyoandikwa mpende jirani yako kama unavyojipenda basi ukiweka tu ujue kaipata.
Mmh! Haya naamini ntafanye sasa [emoji2][emoji2]Nakuambiaje mtoto mzuri, nipo single, hivi nifanye nini unielewe nipo single.
All is well...Yameisha mkuu.
Noma sana, unaweza kuta hata picha za ku download ππππ[emoji23][emoji23] hapo sasa