Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,566
- 235,386
Halafu mwanamke akichepuka anaonekana shetani wakati anachepuka na nyie wenyewe.Hahaha ni mapito ya maisha tu, na jinsi sisi wanaume tulivyo si ajabu ulishawahi kuwa mchepuko wa mwaaume fulani bila kujua.
Mungu awatunze nyie viumbe wachache mnaotoweka kwa kasi😂😂😂😂Sie wanaume watulivu tusio chepuka tunaonekana washamba sana.. ila uzuri maisha ni kuchagua
Tunakoelekea nitakukunja sasa.Anne niachie basi kwanza shati langu, utanichania shati.
Simama bosiledi
Nafurahi sana Shangazi wangu wa nguvu .. kusikia haujambo. Mie pia mzima, sema nime kumiss 😘Nakusalimia mjomba!! Sijambo kabisa!
Ila nyie watu hamjisahau?Tatizo wengi wenu mnajisahau sana kwenye ndoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sie wanaume watulivu tusio chepuka tunaonekana washamba sana.. ila uzuri maisha ni kuchagua
wapo wengi tu wasio chepuka na wana kila kitu kinacho wezesha kuchepuka. Ukiona mabaya mengi pia mazuri ni mengi. Kuchepuka ni tatizo la akili zaidi na wala sio tamaa kama wengi mnavyo hisi.. Ukiona mwenza anachepuka inabidi akapimwe akiliMungu awatunze nyie viumbe wachache mnaotoweka kwa kasi😂😂😂😂
Eeh! Uchepuke kutafuta nini, unachofata nje na ndani kipo ? Mtu mwenye akili timamu hachepuki
[emoji1787][emoji1787] kongole kwako muheshimiwa. Upewe tunzo ya peke yako [emoji119].Teh teh teh..............itakuwa baadhi tu ndiyo wanafanya, sisi wengine Kwa umri wetu tumebaki kuwa ndugu watazamaji, tunaogopa kufia kifuani [emoji85][emoji2957][emoji125][emoji125]
Uchepukaji ni tabia ya mtu, japo kuna baadhi ya cases nyie ndio waanzilishi, pia si kila mwanamke ni mchepukaji bali yaweza kuwa chanzo ni mwenzie, hii ni win:win.Wanaume hamjawahi kuwa na sababu ya kueleweka kwene kuchepuka. Mke ndani ya nyumba anaweza kuwa hana shida yoyote lakini mwanaume anatoka nje bado.
[emoji28] madame, wafikiri tufanyeje ss na sie??. Twajiandaa na mafyekelo tu ndaniNameza nondo kimya kimya hapa [emoji144]!
Miss you more Mjomba akee!majukumu tu yanatuweka bize sometimes mjomba!Nafurahi sana Shangazi wangu wa nguvu .. kusikia haujambo. Mie pia mzima, sema nime kumiss 😘
Majukumu muhimu sana, maana bila majukumu tunakuwa hatujakamilika ShangaziMiss you more Mjomba akee!majukumu tu yanatuweka bize sometimes mjomba!
[emoji419][emoji419]Communication...
No way ni kukaa nayo ndani kwakweli![emoji28] madame, wafikiri tufanyeje ss na sie??. Twajiandaa na mafyekelo tu ndani
_King unapitwa njoo uone njoo haraka sana, mtu kapita naked.
[emoji1787][emoji1787] eti unakuta sababu, chakula siku hizi ni kibaya. Toa mfano, ingia jikoni pika. Then sema mama watoto eeh waona Leo huu msoc nimeumiss sn mwenzio, kwani siku hzi una nini lakini??. Kiutani tuuWanaume hamjawahi kuwa na sababu ya kueleweka kwene kuchepuka. Mke ndani ya nyumba anaweza kuwa hana shida yoyote lakini mwanaume anatoka nje bado.