Selfika na JF: Snap it. Show it

Mungu azidi kutupa hekima.

Na kingine tusiwe wabinafsi; Kila mtu anawaza tu anataka afanyiwe moja, mbili, tatu. Hakuna anayewaza kumfanyia mwenzie mazuri; tunawazia tu mavuno, hakuna anayetaka kupanda mbegu kwa mwenzie.
Ubinafsi ni wa kuupinga Kwa nguvu zote. Mtu anataka yeye ndo afanyiwe tu hivi na hivi. Anaruka kwenye maoni yake tu peke yake. Hafikirii kwamba nikae na mwenzangu nimuelezee vizuri kuwa napenda hili na hiki, Ili abadilike. Lakini solution kuu inayobakia ni uchepukaji tuu... Mwanamume asiyechepuke ajengewe sanamu lake Kwa kweli.
 
Huyo mwanamke ni mgonjwa wa akili
 
Tupo tumejaa tele mkuu.
 
Mwanaume akisema hachepuki; anaambiwa hana hela au ana upungufu wa nguvu....Mungu atusaidie
 
Nipo hapa nisie chepuka .. Sanamu langu vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…