ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,513
- 126,869
Ili uone makunyanzi yangu, binti be careful what you wish for[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi wewe huna picha?? Namna gani vipi tunakuomba picha unatuzuga bob??
Ili uone makunyanzi yangu, binti be careful what you wish for[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi wewe huna picha?? Namna gani vipi tunakuomba picha unatuzuga bob??
Kwa hiyo wewe ni sheep?![emoji16] [emoji16] [emoji16] nyota ya kondoo inaitwa Aries kwa Kisandawe...hivyo Arien ni mtu wa nyota hiyo
Haha aje tu tusaidiane kutoa mijichoMwambie Heaven Sent akutumie.
Fimbo ya mbali haiuwi nyoka mkweeeeMkwe usitamani mali ya jirani yako.
Zamu ya makanyagio eeeh!!View attachment 1253185
Kesheni kwa maana hamjui siku wala saa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Uwe mvumilivu kama unavyovumilia kumpokea Messiah
Nitaumia sana lakini nitafanyaje mkuu!!Umebana weee hatimaye umeachia.... Sijui nitangaze nia?
Daaah. Na imagine mtu anavyopakwa mafuta mgongoni halafu katulia tuliiiiiiiiiiMmhh naona umeamua kunipaka mafuta kwa mgongo wa ben pol??
Utakayoona inanifaa mkwe.iPhone toleo lipi unataka mkweee ?
😂 😂 😂 ndio mamaKwa hiyo wewe ni sheep?!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uvivu wa kuamka ukiisha ntakupigia picha size za viatu vyangu. Me mnyaki bana guu refu muhimu
Nitakusindikiza kakaUmebana weee hatimaye umeachia.... Sijui nitangaze nia?
Sawa kaka
Usisahau ya Mirinda nyeusi na keki nilainishe koo
Hivyo viatu uje navyo ukija
Afu sitanii kabisa; nina mlonjo mrefuuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasubiri ushahidi, usiazime tu viatu vya jirani yako.
Si nimekutumia.Haha aje tu tusaidiane kutoa mijicho
Vitakutosha? Najua kamguu kako kadogo. Namba 41 hicho.
Oooh!! Hapo sawa mkwe.Fimbo ya mbali haiuwi nyoka mkweeee