DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,900
Mkweee unatamanisha na hilo guuuZamu ya makanyagio eeeh!!View attachment 1253185
Mkweee unatamanisha na hilo guuuZamu ya makanyagio eeeh!!View attachment 1253185
😂 😂 😂 😂 ungeniuliza tu dada mpendwaMwenyewe sijawahi kulielewa kabisaa
Uwe mvumilivu kama unavyovumilia kumpokea MessiahFanya hata kunitumia PM tafwadhali.. Mimi sishindi Sana humu.
Tatizo huyu mama yako unadhani anaruhusu hata hizo picha tuzisevu?? Yaani ile umelaiki tu unataka kubonyeza sevu unakuta holaaaaa looh jamani!!




Umeona ushahidi?Abeee
Hapana auntieUmeona ushahidi?
Mkwe usitamani mali ya jirani yako.Mkweee unatamanisha na hilo guuu
Haha tatizo lake janja janja sanaTatizo huyu mama yako unadhani anaruhusu hata hizo picha tuzisevu?? Yaani ile umelaiki tu unataka kubonyeza sevu unakuta holaaaaa looh jamani!!
😂 😂 😂 kweli kabisalazima ugangamale
Wewe ni mpole sana basi tu...
Jana nilikuwa namuelezea Dada
Hahahahahaha![]()
![]()
![]()
ungeniuliza tu dada mpendwa
Auntie kamwone daktari.Hapana auntie
iPhone toleo lipi unataka mkweee ?Yaani acha tu.
Inabidi mkwe wangu DiasporaUSA afanye mafekechee. Hawezi kuniacha mkwewe nitumie tecno miaka yote hii![]()
Uvivu wa kuamka ukiisha ntakupigia picha size za viatu vyangu. Me mnyaki bana guu refu muhimuKitoto kiongo hiki.
Mmhh naona umeamua kunipaka mafuta kwa mgongo wa ben pol??







Naendelea kutoa likes tu, mnaibariki jpili yangu...![]()
😁 😁 😁 nyota ya kondoo inaitwa Aries kwa Kisandawe...hivyo Arien ni mtu wa nyota hiyoHahahahahaha
Hebu nijibu basi jamani
Hadi umesahau kuweka viunganishi kwa sentence yakoKabisaa huna shida mtu