ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,438
- 119,003
Fanya basi nione shoti hea "darling"!!!Nimekununia.
Fanya basi nione shoti hea "darling"!!!Nimekununia.
Pole shee.Sijaiona
Na tuseme Ameeen ila sisi ni marafiki tumepitiliza mpaka undugu huyo ni msambaa mwenzanguKama nyinyi ni tumbo moja Basi libarikiwe tumbo lililowazaa
Mwambie Heaven Sent akutumie.Fanya basi nione shoti hea "darling"!!!
Nipe connection Basi pmDada anazingua akiweka hapo hapo anafuta ukichelewa imekula kwako yaani imeenda hiyo ikirudi panchatafuta 'koneksheni'




Kwa makonda unaingia lini MkuuUsijali I know...![]()
AimennnIkigoma nitakutumia dada dearest
Yan hata mirinda amesema ina chemicalsBora nipate company ya Mirinda nyeusi na keki
Wewe bhana, kila kitu unanibania tu kweli darling?Mwambie Heaven Sent akutumie.

Yupi sasa kushoto au kulia auntieAuntie hapo hata hamna haja ya ana ana do. Nataka kujua huyo mwingine ni nani?
Pole sana.Dah kama uzee unakuja hivi...sijaziona
Si jibu la kushangaza kutoka kwakoheri nifagie jangwa joh
Ni kweli Kaka angu ni ugonjwa wako lakini huyo unajua ni dada akoKatumani... Ugonjwa wangu![]()