[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah wee bina hili hapana.[mention]Antonnia [/mention] View attachment 2259323
View attachment 2259324
Hizi ni nzuri sana ukipata anaejua kukata utapendeza sana weaving zake zipo uliza wasusi wanajua
vitoto havijui kitu, uzoefu una matter.. πππ Shangazi badae.. acha nilale sasaWee vitoto ndio vitamu bana mjombaa acha zakoo!!
Hiyo ya 2 imekaa ki madame haswaaa. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Ya kwanza Cinderella kama extension fulani hivi
Ya pili fluffy kinky nzuri sana hii zinakaa muda mrefu
Soft locs hiyo tatu
View attachment 2259326View attachment 2259327View attachment 2259328
Kabisa tena naenda kwa anaejua kusuka Saivi!Ah ndo uzuri wa nywele hizo kwa kweli .
Hapo bunda zako mbili au tatu ... Unapendeza zako .
Rafiki yangu alisuka hiyo ya rhumba aisee alikaa nayo muda na nywele bado ipo vizuri .
Nimeipenda suits tyuuh.
Nakusabahi ShangaMadam hapo nilikua nishapiga mambo ya wige[emoji2][emoji2]
Ukiamka uselfike mjomba usisahau kunitag!!vitoto havijui kitu, uzoefu una matter.. πππ Shangazi badae.. acha nilale sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah wee bina hili hapana.
Nakusabahi Shanga
Sio mbaya bina ukimpata msusi anajua kukata unapendeza tu
Labda sababu mimi mzee ndio naona nzuri[emoji2][emoji2]
Mweh Kwa uzee gani shangazi mchumba tu weye [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji6][emoji6][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]!!
Wee bina hapana, ataharibu huyooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio mbaya bina ukimpata msusi anajua kukata unapendeza tu
Labda sababu mimi mzee ndio naona nzuri[emoji2][emoji2]
Thobotoooooooooo!! mzee nipo hapa makuzoom tu shangazi unaejiita mzee π€£π€£π€£π€£π€£π€£![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshakula chumvi nusu paketi..
Natafuta rhhumba nimeielewa sana!!Wee bina hapana, ataharibu huyooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thobotoooooooooo!! mzee nipo hapa makuzoom tu shangazi unaejiita mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
NipoMjomba umemisika unapita kama upepo
Mimi niko poa Nashukuru Mungu sijui wewe huko?
πππ€£π€£π€£π€£πππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!!Hebu nipumzishe kwanza[emoji2][emoji2]
Kwa uzee gani??
Selfika kidogo Ssebbo tumemiss selfii yako mkuu!!Nipo
Kuna baridi sana huku
Ila mida natokelezea kama hivi
Pamoja sana Shangazi Mzuri
Shangazi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshakula chumvi nusu paketi..