Selfika na JF: Snap it. Show it

Kheeeh usitume picha yako ulopigaa kwa camera ya simu yako, labda u screenshot, bila hivyo unadukulia bibi wee, [em

Kheeeh usitume picha yako ulopigaa kwa camera ya simu yako, labda u screenshot, bila hivyo unadukulia bibi wee,
Heeee kumbe
Asante
Basis washadukua cm yangu
Eeh makubwa
 
😄😄😄😄 Mie mwenyewe ilinitokea nimechukuw pisi kali CBE hao club, mtoto kila saa yupo na lijamaa.. nika mind naambiwa huyo kaka.. nikaondoka kichwa chini.. 😄😄😄.. mdada akarudi kesho jioni kutoka kwa kaka yake.. Bwana Athumani sio Mungu, yule dada akaja miaka zaidi ya 10 nikakutana nae anatafuta nyumba na akakutanishwa na father house mie mwenyewe mbona alifurahi 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…