cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,175
iven now i can fly with a choper






chopa ya Ungo? Air luparu? Cuzooooo hebu nipumzishe, ntaonekana chizi bureee, sio kwa kucheka hivi khaaaah.
iven now i can fly with a choper






chopa ya Ungo? Air luparu? Poa poa.Leo nipo kazini aisee.. tunaanza weekend badae hadi ijumaa ..kazi za mchongo kwa wiki moja ila kama hivi
. haaa watu wame wahiwa humu .. unaweza kwidwa hadi roho ikatoka

Tulia wewe 2pac apaechopa ya Ungo? Air luparu?
Cuzooooo hebu nipumzishe, ntaonekana chizi bureee, sio kwa kucheka hivi khaaaah.
Pamoja mkuuPoa poa.
Nakuzoom tu![]()






km jimbo lako useme kabisaa, usije shangaa kuna mtu anakua mbunge viti maalumu. Woiiiiiiiiiiiiihwanasema usitamani mali ya jirani au uwe umejiandaa kwa mapigano kama utang'ang'ania
Mwenzangu ndyoo, sasa nshazoea kwetu, mnyoo, ndo hair style,
Kingereza chenyewe kilikuja na Meli, bas tafrani tupu.
![]()


Hapana,wee endelea tu na kampenikm jimbo lako useme kabisaa, usije shangaa kuna mtu anakua mbunge viti maalumu. Woiiiiiiiiiiiiih

hebu nichukue fomu mapemaaa,
haraka mnoMie naondoka nanani hapa shos baridi hili Jamani mpaka mrashia arudi mbona atakuta nimekauka kwa baridi 😉😉😉🤣🤣🤣!!Kwa kweli a relaaaaaaax tyuuh, watakimbizana kwake wenyeweeeeeeeeeh,![]()
apana sio ya ungo ile inayotumiaga mafta ya ndege kabsachopa ya Ungo? Air luparu?
Cuzooooo hebu nipumzishe, ntaonekana chizi bureee, sio kwa kucheka hivi khaaaah.