Ntiluseswa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2021
- 670
- 2,278
let location be anywhereNakuja cuzooo wangu, tag location bas nawee.
let location be anywhereNakuja cuzooo wangu, tag location bas nawee.
Mie na wewe tenaa 😘 😘 ,haya ulale unono!! Mwenyekiti na wajumbe wako!!Assssaaaaaaanteeeehhhh Katibu!! Finally naeza sinzia vizuuuurriiii kabisa!!!
Barikiwa mnoo katibu 😜😘
Mimi napenda baridi kiukweli. Kama yale maeneo yako kule pako poa sanahakuna namna, tunaishi nalo badae acha nirudi mahala huwa kuna joto hatari.. ila baridi huwa lina noga sana hasa ukiwa unatazama green
Haya chaumbea! 🤣🤣🤣taarifa ikufikie mwayaaa.
Nipo shangazi yangu.. Hakika Mungu ni Mwema. Tumejituliza tu hapa .. mapya shangaziNakusalimia mjomba wangu! Habari za kutwa mjomba!!✋
Uje ututembelee kuna hifadhi uta enjoy 🤗🤗Mimi napenda baridi kiukweli. Kama yale maeneo yako kule pako poa sana
Nipe nimpe Kelseasasa ndo ulie? Ujanja wote huo huna connection mjini, poleeeeeeeh
Si kule kwene ukijani?Uje ututembelee kuna hifadhi uta enjoy![]()









Nafurahi kukuona selfika mjomba huku hakuna mapya zaidi tumekumiss sana sana tu mjomba bosi wetu wa vocha!!!Nipo shangazi yangu.. Hakika Mungu ni Mwema. Tumejituliza tu hapa .. mapya shangazi
Humu kuna fine men kibaoKumekuchaaaaaaa!!!!
Hustler one wee ni noumaaaaaaaaah,
Kheeeeh Jf ina wanaume wa kwenda hivi, hilo tabasamu tyuuh, nyonga inatingishika enyewe.
![]()
When? Ouklet location be anywhere
Kumekuchaaaaaaa!!!!
Hustler one wee ni noumaaaaaaaaah,
Kheeeeh Jf ina wanaume wa kwenda hivi, hilo tabasamu tyuuh, nyonga inatingishika enyewe.
![]()
boss wa mchongooo tu😄😄😄.. Shangazi yangu, acha nirudi kupambana..Nafurahi kukuona selfika mjomba huku hakuna mapya zaidi tumekumiss sana sana tu mjomba bosi wetu wa vocha!!!
Huyu kaka ni noumaaaaah, mweeehHumu kuna fine men kibao
Yap huko huko.. nitakupeleka na maeneo mengine mazuri zaidi ..Si kule kwene ukijani?
Yap huko huko.. nitakupeleka na maeneo mengine mazuri zaidi ..

thanks