Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

kidimbwi nimeisha vuruga sanaa.. kwangu imekuwa kama zilipendwa na kidimbwi jumapili huwa pana wakaa sanaa.. kitambo nilikuwa naanzia Juliana .. tukichoka tunasogea kumalizia pale hadi saa moja

Jumamosi ufike pale Twenty five makonde uweke muhuri ni u smart wako tu, unaweza angukia kwa lishangazi la UN...

Sogea sogea pale pazuri sana
 
Jumamosi ufike pale Twenty five makonde uweke muhuri ni u smart wako tu, unaweza angukia kwa lishangazi la UN...

Sogea sogea pale pazuri sana
Hayo mashangazi mazuri kukutana nayo masakai kuna viwanja vya kiheshimiwa sana hukutani na wanyonge 😀😀😀😀.. pale 25 na mie hatuendani napenda sehemu ambayo ipo karibu na hotel.. fumba fumbua nipo chumbani .. kimkakati sana hii
 
Hayo mashangazi mazuri kukutana nayo masakai kuna viwanja vya kiheshimiwa sana hukutani na wanyonge .. pale 25 na mie hatuendani napenda sehemu ambayo ipo karibu na hotel.. fumba fumbua nipo chumbani .. kimkakati sana hii

Hahha huwenda tukawa tumeonana maeneo ya huko masaki, sema kwa sasa u busy hata hapo samaki samaki kuna mashangazi yanakamata vijana kwa nguvu ukiwa mrefu uko official wanajigongesha ssna...
 
Hahha huwenda tukawa tumeonana maeneo ya huko masaki, sema kwa sasa u busy hata hapo samaki samaki kuna mashangazi yanakamata vijana kwa nguvu ukiwa mrefu uko official wanajigongesha ssna...
😀😀😀 inawezekana, code huwa natembea sana na demu mmoja wa kiarabu na tulikuwa tunatumia sana gari ya blue inayo ng'aaa mala chache sana gari nyeupe.. gari blue ilikuwa audi, na nyeupe ilikuwa crown.. viwanja sana vya masaki ndio ilikuwa zetu na ndio zetu bado napo mala moja moja
 
Back
Top Bottom