Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

inawezekana, code huwa natembea sana na demu mmoja wa kiarabu na tulikuwa tunatumia sana gari ya blue inayo ng'aaa mala chache sana gari nyeupe.. gari blue ilikuwa audi, na nyeupe ilikuwa crown.. viwanja sana vya masaki ndio ilikuwa zetu na ndio zetu bado napo mala moja moja

Nitakualika siku moja twende OLIVE pale tupige maji..
 
20220610_200526.jpg
 
Back
Top Bottom