Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,221
Jamani hapana, huu mwaka baridi imezidi.. sijui kama ungeweza kutoboa.Naoga ila nikitoka hapo natetemeka mpaka nywele
Jamani hapana, huu mwaka baridi imezidi.. sijui kama ungeweza kutoboa.Naoga ila nikitoka hapo natetemeka mpaka nywele
Barikiwa sanaasnteeeeeeeee!!! Nawe pia uwe na Jioni njema mkuu!
ni wewe ndio unaongea au maji ya dhahabu?
Maana ka wkend kameshakuwa kakubwa..

😀😀😀 kidimbwi nimeisha vuruga sanaa.. kwangu imekuwa kama zilipendwa na kidimbwi jumapili huwa pana wakaa sanaa.. kitambo nilikuwa naanzia Juliana .. tukichoka tunasogea kumalizia pale hadi saa mojaMadmax mjanja sana jumapili msisite kufika kidimbwi kuweka saini ..
Angalia kushoto kwakoFanya chap kabla sijatoka hapa Nakadori
Sijakupata hata. Unamaanishaaa ............?Angalia kushoto kwako
Huwez maji ya moto pamoja na hili baridi? Upo vizuri. Maji yabaridi nilishashindwaKuoga maji ya moto ni kipaji mimi siwezi
Leo picha zote za shangazi sina bahati nazo💕😘paja pajaa
Mekutania tu mbalizi sijakuona wala nnSijakupata hata. Unamaanishaaa ............?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mzigo unanywea mpaka unapotelea tumboniKuna kipindi nilikuwa naoga maji ya baridi Arusha hapa aseeee pumbbbu nilikuwa nazitafuta kwa masaa kadhaa kabla hazijarejea tena![]()
Hatari sanamzigo unanywea mpaka unapotelea tumboni

ni nyakati hizo ndio uhalisia wa kiba
huwa unadhihirika waziHhahaahahahahahahahahHKuna kipindi nilikuwa naoga maji ya baridi Arusha hapa aseeee pumbbbu nilikuwa nazitafuta kwa masaa kadhaa kabla hazijarejea tena![]()

HhahaahahahahahahahahH![]()

Jamani haya kaa hapo usitoke mjomba!!Leo picha zote za shangazi sina bahati nazo
🤗🤗🤗Jamani haya kaa hapo usitoke mjomba!!
Nimecheka kichizi
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 wakubwa wanafaidi sijui na mie lini nitaotea nyama kama hiiIlikua hii mjomba!!View attachment 2256613