Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Si umeona mwenyeweUkute ni menu ya mtu tatu tu, wasukuma [emoji114]
Ah hizo huwa ni tamu piaMimi pia karanga nakula sana tena napenda zile kubwa nyekundu nanunua kilo moja nazikaanga nakula kidogo kidogo [emoji2][emoji2]
Umetisha sana๐ฅ๐ฅAcha na mimi ni selfike, King asante. View attachment 2256123
..ilaa[emoji1787][emoji1787]Duh nimecheka aiseee
Jmn tumefanyaje we genetic[emoji23][emoji23][emoji23]
Na kwann ufumaniwe jmn?
To be honesty Fanya yote nitakuwa mpole,once nimegungua unacheat,yaani na share dyudyu,hakuna rangi utaacha ona,ila sitakuwa naongea ,na sitakunyima nitakupa tu ilaa........[emoji124][emoji40]
hbhahahahaha,mie nawatazama tuHakuna mkuu usiwaze.. mie na ndoa na Nuzulati na hivi karibuni tunatarajia mtoto wetu wa kwanza ... ๐๐๐
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] yanajua hayana pakwenda...
Hahahahaha nkamu nimesema naipenda; sijasema naiweza. Maana unaweza ukakipenda kitu, ila chenyewe kikakukataa๐๐๐๐
๐คฃ๐คฃ kila la kheri kwenye kutafuta code no!Mwanzo wa kukosea namba, ndiyo mwanzo wa urafiki๐๐๐
Duh! Shangazi haya mambo yangu .. huwa kwenye begi nakuwa na mzigo wa Karanga hizo nyekundu sema mie huwa napenda mbichiMimi pia karanga nakula sana tena napenda zile kubwa nyekundu nanunua kilo moja nazikaanga nakula kidogo kidogo [emoji2][emoji2]
Hahahahaha nkamu nimesema naipenda; sijasema naiweza. Maana unaweza ukakipenda kitu, ila chenyewe kikakukataa๐๐๐๐
Hakuna kitu nkamu๐๐๐Wanyaki tuna msemo wetu maarufu unasema "If you know you know" ..........
"You know what I am saying?"
Oh sana tuNitampa tu tena vzr sn
Kati ya moja ya adhabu moja ya kijinga wanayodanganyana wadada ni kumnyima mwanaume mkiwa mmegombana!
Mnyime uone nje wanacheza na gap tu ,[emoji40][emoji23][emoji41]
Nimeshaipata kitambo, subiri tu namba mpya iku-call๐คฃ๐คฃ kila la kheri kwenye kutafuta code no!
Acha na mimi ni selfike, King asante. View attachment 2256123
hahahahahahahaDuh nimecheka aiseee
Jmn tumefanyaje we genetic๐๐๐
Na kwann ufumaniwe jmn?
To be honesty Fanya yote nitakuwa mpole,once nimegungua unacheat,yaani na share dyudyu,hakuna rangi utaacha ona,ila sitakuwa naongea ,na sitakunyima nitakupa tu ilaa........๐ถ๐ท
Si ndio mnaitaKwamba wanaovitembeza huko nje: ni kwa sababu wake zao wamewanyima?.
Usiogopeee๐๐