Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,851
- 37,564
HahaaaaMiss colors🥰🥰🥰🥰
Wizo hiyo ni jumpsuit ambayo ina suruali kwa ndani na gauni peke ake,ila vinavaliwa kwa pamoja
HahaaaaMiss colors🥰🥰🥰🥰
😁😁😁asantemashalaah,pisi kali,mungu fundi
hahahahaha,kumbe hadi we umeona eehAh wewe ni photogenic kweli
rangi zinakupenda pia
Unantesa tu kumbe cuzo wangu ww anti yako basi ngoja nimwambie akuelekezeSpider wewe 😀
Ngoja shangazi Strawbella aje anisaidie kujibu
hv zile fomu zang za kuwania jimbo bd hujazipitia?😁😁😁asante
Mungu funding🙏
Ah wewe ni photogenic kweli
rangi zinakupenda pia
Kipo kipo kwa mbali, nakomaa nacho..Ah sio mbaya kama ni kidogo
Kikiongezeka hapo ndo shida ..
Wanashauri kutokula wanga usiku sema ni ngumu aisee .
Ah nimeona rafikihahahahaha,kumbe hadi we umeona eeh
Ah kweliAsante my
Sie weusi acha tuvae rangi baby ili tung'ae kidogo![]()
Asante dear ni kweliaAh kweli
Hakuna rangi ya mtu mweupe wala mweusi
Kikubwa kupendeza
MhhAh kweli
Hakuna rangi ya mtu mweupe wala mweusi
Kikubwa kupendeza
Acha kumkazia mtu chake sikiliza maombi hayoShimba ya Buyenze
Come here ujibu swali
hahahahaha,yuko vzrAh nimeona rafiki
Napenda picha zake ..
Ah hakina shida hichoKipo kipo kwa mbali, nakomaa nacho..
Kuacha kula wanga ni ngumu, yan nilalie Carbs? Mhh huo uzungu hata sina![]()
Mimi zaidiMama Junia I miss u

hahahahaha,ananipotezea kumbe eehAcha kumkazia mtu chake sikiliza maombi hayo
Mhh
Kwani mama rangi anasemaje? Heaven Sent
Valisha mustard yellow mtu mweupe na mweusi, then ucheck nani atawaka sana.
Naona anapotezea mada mkuu na jambo unalomwambia ni la kherihahahahaha,ananipotezea kumbe eeh
Yeah surehahahahaha,yuko vzr