Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,304
Sura Kama hizi ndio zinatupa molali ya kutafuta hela ,,wacha niamke nikapige debeView attachment 2255968
Ijumaa mubarack guys 🤍
Mimi pia nitafurahi kupata wifi mrembo ana unywele najua utanipa tipis za nywele na fashon 😀Sanaaaa nipate ma antie kina junior 😁wazuri wenye rangi mahandsome na warembo mie
Hongera sana kwa majukumu mkuu.Habari za usiku selfika family!
Kiukweli Nawamis na kuwakumbuka sana sana nivile tu nimebanwa na majukumu kidooogo ya kuwekaau
kwa hawa vijana wetu waliomaliza May! . Lakini break nachungulia chungulia nakutana na Salamu zenu nyingi sana za kunimiss kwa namna moja ama nyingine nami nawakumbuka sana wapendwa mbarikiwe sana!
Anyawys lengo la kuwasumbua hapa ni kutaka kuwajulisha kuwa kwa sasa nimebadili username kutoka " Mahondaw" to" Antonnia" kama inavyojionesha hapo!
Nina kama wiki moja tangu nibadili username hii sasa kwa leo jioni Katika kuja kuwasabahi ndugu zangu selfika nikakutana na salamu za kukumbukwa kutoka kwa mpendwa Nuzulati Katika kusoma soma pages nikaona mahala Kelsea amesema anashangaa anaona kuna mtu anatumia my former username Mahondaw ila alipomchunguza akagundua sio mimi . Then mimi pia nikafuatilia kuprove kama ni kweli na kugundua kuwa ni kweli my former username is in use but to another person!
So please wapendwa kuanzia sasa sihusiki/sitahusika na kitu/ content yoyote ambayo itapostiwa kwa hio username ya Mahondaw!
Katika kufatilia inaonekana huyu mtu anapendelea sana sana nyuzi hizi:
1.Likes
2.Vituko mitandaoni
3.Picha za warembo
Pia huu uzi wa selfika ni mdau sana ukiangalia posts za nyuma utamuona!
Sijajua lengo lake ni kunichafua / kutapeli kutumia hilo jina or for what seriously I don't know wapendwa but I smells something fishy in here!
So nimeona ni vema nika wa alert / kuwapa precautions mapema wapendwa wangu!
Na Avatar niliokua naitumia kwa Mahondaw hio hapo chini nimeifanya hivo makusudikally
Hii post nimeona niiweke tu usiku huu sasahivi ni saa 00:52 am kabla hakujakucha huwezijua ya waja!
Asanteni sana
Nawasilisha
Mshana Jr Nuzulati Kelsea Mjep cocastic Glenn Shimba ya Buyenze Strawbella mtu chake Yna2 sophy27 Hustler one Ngariba1 Christine1 Wigelekelo Katriel tamsana spidernyoka Saint Anne _King Heaven Sent genetic mbalizi1 CAPTORHINOMORPHS My Sons Legacy na wengineoView attachment 2255849View attachment 2255852View attachment 2255853View attachment 2255854View attachment 2255855View attachment 2255856
View attachment 2255968
Ijumaa mubarack guys 🤍
Warembo wa JF
Thanks😍Beautiful
😁😁😁Sura Kama hizi ndio zinatupa molali ya kutafuta hela ,,wacha niamke nikapige debe
Ijumaa Kareem selfikaView attachment 2255976
Asante na kwako pia 🙏Mashaallah, Ijumaa njema mpendwa
Aunt 😍😍Ijumaa Kareem selfikaView attachment 2255976
Emu niteme sasa🤣🤣Now days umekuwa gaidi lisilomithirika!
😀😀🙏Sura Kama hizi ndio zinatupa molali ya kutafuta hela ,,wacha niamke nikapige debe
The ever-byurifu Alicia KeysView attachment 2255968
Ijumaa mubarack guys 🤍
😁😁kina anti Jr na caren watapata nywele za shangaziMimi pia nitafurahi kupata wifi mrembo ana unywele najua utanipa tipis za nywele na fashon 😀
Hapo kwa kina junior sasa 😍
Ulimisika sana madamHabari za usiku selfika family!
Kiukweli Nawamis na kuwakumbuka sana sana nivile tu nimebanwa na majukumu kidooogo ya kuwekaau
kwa hawa vijana wetu waliomaliza May! . Lakini break nachungulia chungulia nakutana na Salamu zenu nyingi sana za kunimiss kwa namna moja ama nyingine nami nawakumbuka sana wapendwa mbarikiwe sana!
Anyawys lengo la kuwasumbua hapa ni kutaka kuwajulisha kuwa kwa sasa nimebadili username kutoka " Mahondaw" to" Antonnia" kama inavyojionesha hapo!
Nina kama wiki moja tangu nibadili username hii sasa kwa leo jioni Katika kuja kuwasabahi ndugu zangu selfika nikakutana na salamu za kukumbukwa kutoka kwa mpendwa Nuzulati Katika kusoma soma pages nikaona mahala Kelsea amesema anashangaa anaona kuna mtu anatumia my former username Mahondaw ila alipomchunguza akagundua sio mimi . Then mimi pia nikafuatilia kuprove kama ni kweli na kugundua kuwa ni kweli my former username is in use but to another person!
So please wapendwa kuanzia sasa sihusiki/sitahusika na kitu/ content yoyote ambayo itapostiwa kwa hio username ya Mahondaw!
Katika kufatilia inaonekana huyu mtu anapendelea sana sana nyuzi hizi:
1.Likes
2.Vituko mitandaoni
3.Picha za warembo
Pia huu uzi wa selfika ni mdau sana ukiangalia posts za nyuma utamuona!
Sijajua lengo lake ni kunichafua / kutapeli kutumia hilo jina or for what seriously I don't know wapendwa but I smells something fishy in here!
So nimeona ni vema nika wa alert / kuwapa precautions mapema wapendwa wangu!
Na Avatar niliokua naitumia kwa Mahondaw hio hapo chini nimeifanya hivo makusudikally
Hii post nimeona niiweke tu usiku huu sasahivi ni saa 00:52 am kabla hakujakucha huwezijua ya waja!
Asanteni sana
Nawasilisha
Mshana Jr Nuzulati Kelsea Mjep cocastic Glenn Shimba ya Buyenze Strawbella mtu chake Yna2 sophy27 Hustler one Ngariba1 Christine1 Wigelekelo Katriel tamsana spidernyoka Saint Anne _King Heaven Sent genetic mbalizi1 CAPTORHINOMORPHS My Sons Legacy na wengineoView attachment 2255849View attachment 2255852View attachment 2255853View attachment 2255854View attachment 2255855View attachment 2255856
Wizoooo km wizooooooo