Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
Ok…I think alimaanisha ya alizeti,ni kweli yapo yenye povu
Ambayo ndo hayo mi nimesema ni Yale wafanyabiashara wadogo wanayachukua na kuanza kuyachemsha tena ili kupata mafuta!
Ss kuyafahamu ni balaa unaweza pigwa vzr tu