😂😂😂 mdada mrembo
Ah sio mbayaImejitahidi kutoka vizuri
Japo sikuipiga piga sufuria ili itoe hewa...mashimo yamekuwa mengi mengi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tumbo ya mheshimiwa.mdada mrembo
English figure ya kwenda… tumbo dadaa, tumbo lako na jirani
Sijui hata nimepikia unga upiAh sio mbaya
Ushawahi kupikia na unga wa PPF
Na hizi Bei mpya sijui wanauza kilo shs ngapi
,Kwahiyo ulisuburi mi nitoke ndo uselfike eti surbi?Hhahahaha .sawa kaka
Itakuwa huu wa all purpose flourSijui hata nimepikia unga upi,
Huko kwenye aina za unga nipo mweupe.
Kesho nitajaribu kachori ulizonifundisha jana.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wizooo na we umesuburi nitoke ndo uselfikeTumbo ya mheshimiwa.
Najitahidi kupunguza ulaji wa ugali.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ppf 3000Ah sio mbaya
Ushawahi kupikia na unga wa PPF
Na hizi Bei mpya sijui wanauza kilo shs ngapi
😂😂😁whyJf ya sikuhizi ni majanga tu
AiseePpf 3000
Bei ya leo hiyo..
🤣🤣🤣Tumbo ya mheshimiwa.
Najitahidi kupunguza ulaji wa ugali.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Anha sio mbaya nikahisi imepanda sanaPpf 3000
Bei ya leo hiyo..
He!....kulikoni jirani
Jirani nakuja..View attachment 2255736View attachment 2255738View attachment 2255739
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
DuhAnha sio mbaya nikahisi imepanda sana
Ngano ni 1900
Nitautafuta.Itakuwa huu wa all purpose flour
Ndo tunanunua dukani
Huo wa Ppf mzuri kwa cake na pastries
Anha haya dear .. ni ya haraka chap umemaliza .
Na havinyonyi mafuta kama bagia za dengu .
Ah balaa sema nyie mafuta huko alizeti bei nafuuDuh
Huku 2200
AiseeNitautafuta.
Ila huu pia unenitolea keki nzuri
View attachment 2255770
Ngoja nianze na kachori kwanza