Mama mimi nasema vizuri tu kama haelewi namtolea na mifano kabisa [emoji23][emoji23] ila sasa lazima na yeye awe vizuri kuna wale hata ukimuelekeza anakuangalia tu[emoji126][emoji126][emoji126]
Hayo ndo mambo
Hakuna kitu kinatesa km kuachwa hewani mama weee
😬😬😬😬Naona kuna ka mtu kanatoa macho tu.. 😀😀😀😀😀
Anakuonea wivu ngoshaNaona kuna ka mtu kanatoa macho tu.. 😀😀😀😀😀
Eheee tatizo liko hapaMama mimi nasema vizuri tu kama haelewi namtolea na mifano kabisa [emoji23][emoji23] ila sasa lazima na yeye awe vizuri kuna wale hata ukimuelekeza anakuangalia tu
JF haina mwanaume mwenye uhitaji. Kila me humu ana gari na maisha mazuri, kazi za maana; na kilichobaki ni kula bata tu na kupelekea moto mbususu za pisi kali.Msisahau kuna wanafunzi pia na watu wenye hali tofauti tofauti; mwingine ni me ila ana uhitaji kweli
Usijali mama yangu kipenzi nakupenda 😍😍😬😬😬😬
Hata mimi nilielewa hivyo hivyo ulivyoelewa wewe ila tu kwa heshima ya Mama Mchungaji nilikausha. Men [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Ni mimi tu ndio nimeelewa vinginevyo...hizi akili zangu bwana, zisianze kuongelea hizi mambo...total nutshell[emoji3][emoji3]
Changamoto sana. Kuna wale wasiojua kukiss jaman mtu anatafuna lips kama anatafuna nyama ukitoka hapo mdomo umevimbaEh
Eheee tatizo liko hapa
Unamwambia halafu hajui anakushika kwa nguvu tu
Ilo tatizo lingine
Mama yangu 😂😂😂😂Changamoto sana. Kuna wale wasiojua kukiss jaman mtu anatafuna lips kama anatafuna nyama ukitoka hapo mdomo umevimba
YatawashindaHata mimi nilielewa hivyo hivyo ulivyoelewa wewe ila tu nikakausha. Men [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Aah aona aibu🙈🙈🙈Funguka mkuu
[emoji23][emoji23] nomaChangamoto sana. Kuna wale wasiojua kukiss jaman mtu anatafuna lips kama anatafuna nyama ukitoka hapo mdomo umevimba
[emoji23][emoji23] kuna watu miyeyusho sanaMama yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh! kuna watu wanateseka.Wapo, anaona kadharaulika kwamba yeye hajui kazi. Nina rafiki yangu alinishirikisha mpenzi wake analipua lipua tu akamueleza naomba unifanyie hivi na hivi bwana akanuna eti amemuonyesha dharau hajui kazi [emoji23][emoji23]
💃💃yaani mwambie ndo navaa hapa kivazi ambacho kinahasishaFortnox namalizia haka zoezi tosha.. lazima mtoto Christine1 afurahi mwenyewe na nafsi yakeView attachment 2255485
Huyo boya alikuwa last born labda...Wapo, anaona kadharaulika kwamba yeye hajui kazi. Nina rafiki yangu alinishirikisha mpenzi wake analipua lipua tu akamueleza naomba unifanyie hivi na hivi bwana akanuna eti amemuonyesha dharau hajui kazi [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] mama ni aibu mno. Nikishaona natafunwa mdomo na zoezi tunaghairi sitaki kesi mimi.[emoji23][emoji23] noma
Unaeleza nini nyumbani hapo ?