Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tubadili upepo mselfike
IMG_20220609_160211_960.jpg
 
Aisee tena watu wenye nguvu chache ndiyo wanaongoza kwa kuchepuka na kuwa abusive kwa wake zao. Ile kuchepuka na kupewa sifa za uongo na michepuko kunaboost their low self esteem. Mke asimdharau so anampangia michepuko.

Sasa ukute mke ndiyo unapenda masifa, kitu kidogo my hubby afu mchepuko unajua jinsi shughuli ya bwana ilivyo fa fa fa; ukipita unavyochekwa maskini

Una uhakika na hili?

Umelifanyia utafiti?

Kwamba wenye nguvu chache ndo wanaongoza kwa kuchepuka? That's a weird sweeping generalization...Unajijua we ni mtu wa kigoli kimoja na chenyewe pengine kwa mbinde halafu uwe na michepuko? Ya nini sasa? Ili iweje?

Bila kuielewa saikolojia ya mwanaume (ambayo ni rahisi sana) kwa hakika shida na malalamiko haya hayatakuja yaishe kwenye ndoa ama kwingineko!

Sad!
 
Nimefanya research, nakutumia PM
 
Back
Top Bottom