Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚hasa kwa style hii nikija mbona nitakuwa bonge na mi nikifumania nitaanza kulia lia na kujitupa chiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Aisee wasukuma wanajitahidi kunijali,mwanza moja hiyo hakuna anaebisha

We muamala nifanyie pm hapa siweziπŸƒπŸƒ
 
Kwamba wanaovitembeza huko nje: ni kwa sababu wake zao wamewanyima?.
Hapana. Sicho anachokisema Binti Abiudi kwa sababu mjadala sasa hivi utaelekea kwenye kukandia wanaume na umalaya wetu.

Anachosema Binti Abiudi ni kwamba kwake yeye anaamini kuwa akimnyima hubby wake inaweza kuwa sababu shirikishi ...na falsafa yake ni kuwa hubby wake ni lazima apate haki yake no matter what.

What a beautiful philosophy! [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…