Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
Hujabeba totoz pale hostel? Nipo kidimbwi nasafisha macho
Hujabeba totoz pale hostel? Nipo kidimbwi nasafisha macho
Sina tafautiNipo mkuu, ubusy tu wa hapa na pale, nasikia ulituma hadi picha sijaionaukituma tena nitag mkuu
![]()
Vyovyote tulivyo ni kwa utukufu wa Mungu, tunapaswa kushukuru na kujikubali. Nitumie hiyo picha banaSina tafauti
Na Emoro wa Empire Bakuba
Mfupi fulani hivi halafu mweusii tii
Nakuja uko nikifika nasemaHujabeba totoz pale hostel? Nipo kidimbwi nasafisha macho
Boy leo Magu Hostel kilichafuka…. _King
Hafu next time mnikumbuke mkienda Havoc sijui na madane St Anne na wana wengine. Sina gharama nakunywa Fanta Orenji tu.
View attachment 2253638
😀😀😀 macho ya simba, leo katoto kaliko kukamata itabidi nikasake nijue kana nini haiwezekani ukale peke yako
Njano inavyowaka!Uuh nilivyo yellow addict, hiyo blazer imetaka kunitoa roho. Looking gorgeous our ex wife,
Saint Anne umepitwaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
AsanteOkay dear
Mahitaji
Ngano robo
Maji
Chumvi
Viazi
Rangi au kama mimi hapo nimetumia binzari ya njano
Nyongeza
Mimi nimeweka pilipili manga hapo
Kitunguu maji swaumu na hoho kidogo
Kupika sasa
Menya viazi vyako then oshe baada ya hapo vitenge jikoni vichemke huku ukiandaa viungo vyako . Angalia visipondeke sana (nimechemsha vitunguu pamoja na viazi , chumvi )
Baada ya viazi kuiva , epua viazi vyako vichuje baada ya hapo Anza kuviponda mpaka vilainike . Vilainike lakini sio sana ile
Andaa ngano yako weka maji hapo. Anza kuchanganya maji na ngano ...hakiksha mchanganyiko huo ni mzito kiasi usiwe ule mwepesi ... Baada ya hapo weka rangi yako unayoipenda mfano nimeweka binzari ya njano
Koroga mchanganyiko wako huku ukiandaa mafuta yako jikoni yapate moto
Chukua viazi ulivyoponda then weka kwenye ule mchanganyiko wa ngano wa maji hakika kiazi chote kinapata ile ngano geuza kiazi upande zote ngano ishike ili isiweze kuachia wakati kupika
Then weka kiazi chako kwenye jiko hakikisha usigeuze Hadi uone chini kimeiva ndo ugeuze baada ya hapo epua ukiona vipo tayari .
Hapo umemaliza
.
Hivi komwe huwa linanoga 😂Mpwa umenoga!!
Nilijua tu. Kwa hiyo mimi huwa nawakawaka?😏😏Njano inavyowaka!
Hapana Kwa kweli
Anaitwa Mideko mtaalamu wa kufukua makaburi, ana like post za 2019 😅
Ndaga fijo nkamu. Niliyemtumia kaipata
🙏🙏🙏🙏Ndaga fijo nkamu. Niliyemtumia kaipata
Nyingine hii hapa ya halotel nkamuNdaga fijo nkamu. Niliyemtumia kaipata